Usimwamini mtu anaenyoa kipara au anayekunja mikono ya mashati

Hua nakunja mikono ya shati kwakua sipendi zile kingo kuchafuka hua inakua ngumu kuzifua.

Upara hua nanyoa kwakua kwangu mimi simu inafanyiwa factory reset ila mimi kunyoa upara ndiyo factory reset yangu.
 
Una shida inakusumbua wewe sio bure.
 
Hii tabia ya kuchafuana sio poa kichwa changu unanipangia ninyoaje kwa kuwa we una panki??

[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Bahati mbaya leo nimevaa t-shirt, Ila ingekuwa long sleeves ningeshakunja mda sana!! Napenda kukunja, japo sinyoi para...sasa sijui nipo kundi gani hapa.
 
Mimi simwamini mtu yoyote anavuta sigara, bora kidogo anaye vuta bang😂
 
Bahati mbaya leo nimevaa t-shirt, Ila ingekuwa long sleeves ningeshakunja mda sana!! Napenda kukunja, japo sinyoi para...sasa sijui nipo kundi gani hapa.
Hilo hilo mkuu
 
Hatari zaidi ni FX traders wanaodai wana pesa nyingi lakini wameshindwa kununua sox wanavaa masuruali bila sox
 
Pole kwa yaliyokukuta mwachie mungu atakulipia

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada wewe ni bure kabisa.Ama hauna hela leo,ama umegombana na mwenzi wako na una stress. Ulivyovieleza havina uhusiano.Kwahiyo mtu akinyoa nywele zote anakosa uaminifu muda huo,au kukosa uaminifu ni matokeo ya vijitabia na mienendo unayopitia kadri unavyokua?
 
Kwenye kiingerereza 'roll up your sleeves'ni kufanya kazi. Ila para halifanyi kazi ni janjajanja tu.
 
Mtu anakuambia ukweli kuwa zile CRANE zinazohitajika pale ujenzini ni zile IMMOVABLE na ziko njiani kuletwa.....bado tu unang'ang'ana kuusema UPARA na MASHATI YA KUKUNJA😳😳😳😳😳

Hii kweli si ARGUMENTUM AD HOMINEM?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…