Usimwamini mtu anaenyoa kipara au anayekunja mikono ya mashati

Hili kundi sio la kuamini kabisa

Ukiona mtu hadi anafikia hatua anatoa nywele zote kichwani yaani yeye mwenyewe haziamini hata nywele zake ujue hapaswi kuaminiwa hua ni waongowaongo sana.

Na ukiona mtu anavaa shati mikono mirefu na anakunja kama Obama vile hawa watu kimbia kabisa mbali hawafai kuaminiwa yaani wanaujanja ujanja sana halafu vitu vizito kwao havina maana wanapenda vitu vyepesivyepesi tu.

Ukithubutu kumwamini mtu anayenyoa upara hadi hapo jiandae kupotea na kama unatarajia akuelejeze njia basi jua utaachwa njiani na yeye ataondoka zake ubaki peke yako maana hawaonagi shida hawa kukuacha peke yako.

Mtu haamini wala kuthamini nywele zake utategemea wewe ndio akuthamini kwa kipi labda hivi huwezi kujiuliza tu hadi hapo.
Utafiti wa kina unahitajika...
 
Najaribu kutafuta uhusiano was maoni Yako, ila huenda nitakuelewa baada ya kuyafanyia utafiti
.
 
Hili kundi sio la kuamini kabisa

Ukiona mtu hadi anafikia hatua anatoa nywele zote kichwani yaani yeye mwenyewe haziamini hata nywele zake ujue hapaswi kuaminiwa hua ni waongowaongo sana.

Na ukiona mtu anavaa shati mikono mirefu na anakunja kama Obama vile hawa watu kimbia kabisa mbali hawafai kuaminiwa yaani wanaujanja ujanja sana halafu vitu vizito kwao havina maana wanapenda vitu vyepesivyepesi tu.

Ukithubutu kumwamini mtu anayenyoa upara hadi hapo jiandae kupotea na kama unatarajia akuelejeze njia basi jua utaachwa njiani na yeye ataondoka zake ubaki peke yako maana hawaonagi shida hawa kukuacha peke yako.

Mtu haamini wala kuthamini nywele zake utategemea wewe ndio akuthamini kwa kipi labda hivi huwezi kujiuliza tu hadi hapo.
Hapa yenyewe nmekunja shati, Je nimekukosea nn ndugu mwandishi hahahaha
 
Alievaa shati la mikino mifupu na aliekunja shati tofaufi yao nin?
Tuwaamini maraster wenye nywele ndefu zisizokatwa.
 
Back
Top Bottom