900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Maelezo kama yanamtaja waziri wa twitter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna watu washenzi kama hawa wanaotajataja Mungu kila wakati...wachawi kabisaWabaya zaidi ni wale wanapenda kumtajataja Mungu ili kuonesha wana hofu ya Mungu hawa wengi wana mambo machafu sana nyuma ya pazia.
Kweli mkuu.Uzi wa kitoto kabisa daaaah 😳😳😳
Jiwe gizani[emoji848]Kwa hiyo waziri wa NISHATI tusimuamini
Maana kwa uliyoyasema yote anayafanya
Hakika komredi wangu 🤣Kweli mkuu.
Hivi vitoto ninaharibu JF.
Miaka takribani kumi iliyopita, JF kulikuwa hakuna ujinga kama huu!
Hivyo huu nao uzi,,,,
Utafiti wa kina unahitajika...Hili kundi sio la kuamini kabisa
Ukiona mtu hadi anafikia hatua anatoa nywele zote kichwani yaani yeye mwenyewe haziamini hata nywele zake ujue hapaswi kuaminiwa hua ni waongowaongo sana.
Na ukiona mtu anavaa shati mikono mirefu na anakunja kama Obama vile hawa watu kimbia kabisa mbali hawafai kuaminiwa yaani wanaujanja ujanja sana halafu vitu vizito kwao havina maana wanapenda vitu vyepesivyepesi tu.
Ukithubutu kumwamini mtu anayenyoa upara hadi hapo jiandae kupotea na kama unatarajia akuelejeze njia basi jua utaachwa njiani na yeye ataondoka zake ubaki peke yako maana hawaonagi shida hawa kukuacha peke yako.
Mtu haamini wala kuthamini nywele zake utategemea wewe ndio akuthamini kwa kipi labda hivi huwezi kujiuliza tu hadi hapo.
Umeelewa nilichoandika?Kwani kumtaja MUNGU ktk mambo muhimu ni vibaya??.
Kwani wewe umenielewa??.Umeelewa nilichoandika?
Najaribu kutafuta uhusiano was maoni Yako, ila huenda nitakuelewa baada ya kuyafanyia utafitiHili kundi sio la kuamini kabisa
Ukiona mtu hadi anafikia hatua anatoa nywele zote kichwani yaani yeye mwenyewe haziamini hata nywele zake ujue hapaswi kuaminiwa hua ni waongowaongo sana.
Na ukiona mtu anavaa shati mikono mirefu na anakunja kama Obama vile hawa watu kimbia kabisa mbali hawafai kuaminiwa yaani wanaujanja ujanja sana halafu vitu vizito kwao havina maana wanapenda vitu vyepesivyepesi tu.
Ukithubutu kumwamini mtu anayenyoa upara hadi hapo jiandae kupotea na kama unatarajia akuelejeze njia basi jua utaachwa njiani na yeye ataondoka zake ubaki peke yako maana hawaonagi shida hawa kukuacha peke yako.
Mtu haamini wala kuthamini nywele zake utategemea wewe ndio akuthamini kwa kipi labda hivi huwezi kujiuliza tu hadi hapo.
Zuzu katika ubora wake,kafagilie kaburi la mungu wenu katili lilojificha kwenye kujifanya ni mcha Mungu.Kwani wewe umenielewa??.
Hapa yenyewe nmekunja shati, Je nimekukosea nn ndugu mwandishi hahahahaHili kundi sio la kuamini kabisa
Ukiona mtu hadi anafikia hatua anatoa nywele zote kichwani yaani yeye mwenyewe haziamini hata nywele zake ujue hapaswi kuaminiwa hua ni waongowaongo sana.
Na ukiona mtu anavaa shati mikono mirefu na anakunja kama Obama vile hawa watu kimbia kabisa mbali hawafai kuaminiwa yaani wanaujanja ujanja sana halafu vitu vizito kwao havina maana wanapenda vitu vyepesivyepesi tu.
Ukithubutu kumwamini mtu anayenyoa upara hadi hapo jiandae kupotea na kama unatarajia akuelejeze njia basi jua utaachwa njiani na yeye ataondoka zake ubaki peke yako maana hawaonagi shida hawa kukuacha peke yako.
Mtu haamini wala kuthamini nywele zake utategemea wewe ndio akuthamini kwa kipi labda hivi huwezi kujiuliza tu hadi hapo.
Madhara ya kuwaza kwa kutumia makalio inaonekana dhahiri.Zuzu katika ubora wake,kafagilie kaburi la mungu wenu katili lilojificha kwenye kujifanya ni mcha Mungu.
Yule shetani ndio alikuwa anafikiri kwa kutumia makalio ndio maana alikuwa ni katili lilopitiliza huku likijifanya kumtanguliza Mungu mbele.Madhara ya kuwaza kwa kutumia makalio inaonekana dhahiri.
Sina kipara ila napenda kukunja mikono ya shati.Vipi mkuu una upara nini😂😂😂😂😂