Huo uandishi ni stress ama ni nini. Anyway umeshaachwa ndugu. Kifupi pambana na maisha yako, jiweke vizuri, tafuta mwanamke wa ndoa si huyu pasua kichwa.
Hakuwahi kukupenda from day one. Alikupa kakitu kake kubembeleza misaada ulokua unampa. Nikiwaza na kuwazua si ajabu muda anakukubalia kwenda guest house ni muda ambao ulikata baadhi ya vijimsaada. Mkienda hana ham na wewe, anaona kinyaa kwa kiss lako. NITAANDIKA MENGI HAPA ILA CONCLUSION NI HUJAWAHI KUPENDWA BRO. Usiende kumuua. Endelea na walio serious.