Usimwamini Mwanamke wako hata kama ameshika dini. Maumivu niliyopata leo sitayasahau kamwe

nilimwelezaga kuhusu ilo aliniambia yy apendi kumeza mate nisimlazimishe lkn mkuu upo sahihi kwa kiasi fulan sisi wanaume tukiingiza pale chin akil zinakuwa fupi kidogo
 
Pole mkuu naona moyo uko tempered kiasi kwamba umeshindwa pangilia mwandiko. Mapenzi ni janga kubwa sana kuliko unavyodhani, Maana unaingia makubaliano na mtu ambae hujui moyo wake Wala mawazo yake. Tulia jipe moyo mkuu tafuta maisha mwanamke utapata tu tena mkalii.

Huyo duu ameshapata mwanaume mwingine alikua anatafuta tu sababu ya kukuacha. Lakini pia hakua anakupenda ndio maana hakutaka kujamiiana na wewe nadhani utakuja kuelewa badae kidogo ukikaa ukatafakari vizuri.
 
1. Andika vizuri.
2. Hakukuwa na haja ya wewe kuorodhesha idadi na majina ya wasichana uliowakataa(kwa madai yako).
3. Jitahidi kuwa msafi na nadhifu wakati wote, deodorant zisikupite kila siku, nukia vizuri...
Ukinukia vizuri sio rahisi mtu kukataa kuwa karibu na wewe.
4. Baada ya kusoma hili bandiko lako, hata ingekuwa mie ndo huyo binti ningeachana na wewe, ninachomlaumu huyo binti ni kwamba hakuwa muwazi kwa muda mrefu(amekupotezea muda)
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako
 
duh !!!! mkuu weka full story kidogo ili namimi ni compare na majanga yangu
 
Mdogo wangu muda ukipita utagundua unapokosea halafu badala ya kuumia itakuchekesha, Kwa sasa hivi usimtafute huyo binti sio mwaminifu, ww ni chaguo la pili au la tatu kwake. Kuna watu hapo juu yako ila inawezekana hana uhakika nao. Kuachwa ni jambo la kawaida usiliendekeze sana, tafute mwingine halafu fanya kazi usiwe bingwa wa loverlover na kulia lia ww ni mwanaume ujasiri na kazi ndo identity yako.
 
nipe gwala nimekusoma sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…