Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana binti anafahamu fika kabisa kwamba huyu ni mume wa mtu,Bila kusahau kujiepusha na tamaa.
Inashangaza sana binti anafahamu fika kabisa kwamba huyu ni mume wa mtu,Bila kusahau kujiepusha na tamaa.
Eh! Makubwa tena haya jamani!ndiyo wanaume wengi hawataki na wanakwepa sana kukosea eneo hilo.
Na ndiyo hutumia hekima na busara kutokomea kusikojukikana hata kama wametoa mahari...
ndio maana nawasanua wadada kwamba siri za matatizo yenu saa zingine mnazivumilia na mnazihifadhi tu, pakuziweka wazi ni ndani ya ndoa...
haiwezekani kila kijana anapoulizwa na wazazi wake huyo mwenzio hajambo, jibu liwe anaumwa tu.. wazazi watamzuia kijana wao asibebe hiyo kitu...
kuna mambo hayavumiliki kwenye uchumba..
Infact,
ugonjwa ni siri ya mtu, huna haja kumtisha mwingine kwa kuugua kwako 🐒
Hii ya kuumwa kila wiki ni ugonjwa gani mtoa mada anauzungumzia maana kuna manzi yaani muda mwingi anaumwa na haulewi niniHii point muhimu sana. Kuna sehemu ilinifanya nifanye maamzi mazito bila kuumiza kichwa kisa record za kuugua ugonjwa fulani na kutoa mimba.
Hii ya kuumwa kila wiki ni ugonjwa gani huo maana kuna manzi yuko kama hivyo ebu tujuze mkuuHalafu badala ya kwenda kwenye nyumba za ibada kuomba Mungu na kuombewa uondokane na hiyo Roho ya maringo, kiburi, hasira na dharau, eti unataka uombewe upate mume.
Mume gani atakuoa ukiwa mbishi na mwenye kiburi namna hiyo hata kama ni mzuri wa sura? Jiheshimu, vaa mavazi ya kistaarabu. Omba Mungu akusaidie kudhibiti ulimi wako na kauli chafu za kutisha na kuogofya wanaume.
Halafu jambo la mwisho la muhimu sana, epukeni na kujizuia kutoa siri zote za ufalme wenu hata kama ni za kweli au uongo. Mnaumwa na kuugua sana. Kila wiki unaumwa, ni mwanaume gani ataoa mgonjwa?
Chipukizi chukueni hilo.
Chunga sana hiyo tafadhali, itakusaidia 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mimi binafsi sioni tatizo labda kama una ukimwi hapa nakimbiaEh! Makubwa tena haya jamani!
Kama ndio hivyo ningeshaachika zamani, maana nisiamke kichwa kinaniuma lazima niseme, hata nikijikata na kiwembe namwambia anibembeleze.
Sasa nisipomwambia yeye nimwambie nani? Kama mpenzi atanificha ugonjwa sio mpenzi, na sio mapenzi hayo.
You are among the world's real women, Haupo kwenye lile group la Wanawake/Mabinti vilaza 😊Mtuue ili muishi kwa amani.
Hii kweli kabisa kuna Dada enzi zake alikuwa pini hasaaa na alikuwa anatoka na Wanaume wenye hela tu, Wenye nia aliwaona kama takataka eti sasa hivi anajibebisha mpaka kwa mtu kama Mimi 😃😃😃 na ukizingatia tayari ni single mother na Mtoto wake wa kwanza Baba yake alishakufa, mtoto wa pili alizaa na Msanii fulani ambaye naye kwa sasa kashafulia. Watia nia wa enzi zile bbado wanavimba tu yaani anasalimia kila Mwanaume hata Vijana wa 20's na yeye hapo alipo ana 39.Inashangaza sana binti anafahamu fika kabisa kwamba huyu ni mume wa mtu,
lakini binti ndiyo anajibebishaaaa mpaka anajisahau anaharibuliwa kila mahali kwa tamaa zake, maskini ya Mungu.
saivi anajuta, kila kijana mweinzie wa kiume akigusa tu anaruka kimanga na kumuacha kwaababu kachoka mbaya,dah 🐒
tamaa kitu mbaya sana aise...
Miss Natafuta nipo singo bado at the age of 35+ hata 40 sijafika, kwa sababu unatafuta endelea kutafuta kwa unyenyekevu na subira sana. InshaAllah utapata unachokitafutaMkeo ana hasara sana.maana unaona umemfanyia favour.
Niwe na maumivu ya nini kwa mfano hebu elezea
Inashangaza sana binti anafahamu fika kabisa kwamba huyu ni mume wa mtu,
lakini binti ndiyo anajibebishaaaa mpaka anajisahau anaharibuliwa kila mahali kwa tamaa zake, maskini ya Mungu.
saivi anajuta, kila kijana mweinzie wa kiume akigusa tu anaruka kimanga na kumuacha kwaababu kachoka mbaya,dah
Halafu badala ya kwenda kwenye nyumba za ibada kuomba Mungu na kuombewa uondokane na hiyo Roho ya maringo, kiburi, hasira na dharau, eti unataka uombewe upate mume.
Mume gani atakuoa ukiwa mbishi na mwenye kiburi namna hiyo hata kama ni mzuri wa sura? Jiheshimu, vaa mavazi ya kistaarabu. Omba Mungu akusaidie kudhibiti ulimi wako na kauli chafu za kutisha na kuogofya wanaume.
Halafu jambo la mwisho la muhimu sana, epukeni na kujizuia kutoa siri zote za ufalme wenu hata kama ni za kweli au uongo. Mnaumwa na kuugua sana. Kila wiki unaumwa, ni mwanaume gani ataoa mgonjwa?
Chipukizi chukueni hilo.
Chunga sana hiyo tafadhali, itakusaidia 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kwamba wanavuliwa cheo cha haja kubwa(malinda) akicheka kidogo tu🤣kanyaInashangaza sana binti anafahamu fika kabisa kwamba huyu ni mume wa mtu,
lakini binti ndiyo anajibebishaaaa mpaka anajisahau anaharibuliwa kila mahali kwa tamaa zake, maskini ya Mungu.
saivi anajuta, kila kijana mweinzie wa kiume akigusa tu anaruka kimanga na kumuacha kwaababu kachoka mbaya,dah 🐒
tamaa kitu mbaya sana aise...
Hiki unachosema ni sahihi, nimeshashuhudia kwa mdogo wangu mmoja wa kike, kala sana ela za wanaume wa watu while alikuwa na mshahara wake wa laki 6.5.Inashangaza sana binti anafahamu fika kabisa kwamba huyu ni mume wa mtu,