Usingekuwa na maringo ungekuwa umeolewa muda mrefu, ona sasa unajuta hata wa kukutongoza tu hakuna na umri umesonga

Bila kusahau kujiepusha na tamaa.
Inashangaza sana binti anafahamu fika kabisa kwamba huyu ni mume wa mtu,
lakini binti ndiyo anajibebishaaaa mpaka anajisahau anaharibuliwa kila mahali kwa tamaa zake, maskini ya Mungu.

saivi anajuta, kila kijana mweinzie wa kiume akigusa tu anaruka kimanga na kumuacha kwaababu kachoka mbaya,dah πŸ’

tamaa kitu mbaya sana aise...
 
Bila kusahau kujiepusha na tamaa.
Inashangaza sana binti anafahamu fika kabisa kwamba huyu ni mume wa mtu,
lakini binti ndiyo anajibebishaaaa mpaka anajisahau anaharibuliwa kila mahali kwa tamaa zake, maskini ya Mungu.

saivi anajuta, kila kijana mweinzie wa kiume akigusa tu anaruka kimanga na kumuacha kwaababu kachoka mbaya,dah πŸ’

tamaa kitu mbaya sana aise...
 
Eh! Makubwa tena haya jamani!

Kama ndio hivyo ningeshaachika zamani, maana nisiamke kichwa kinaniuma lazima niseme, hata nikijikata na kiwembe namwambia anibembeleze.

Sasa nisipomwambia yeye nimwambie nani? Kama mpenzi atanificha ugonjwa sio mpenzi, na sio mapenzi hayo.
 
Hii point muhimu sana. Kuna sehemu ilinifanya nifanye maamzi mazito bila kuumiza kichwa kisa record za kuugua ugonjwa fulani na kutoa mimba.
Hii ya kuumwa kila wiki ni ugonjwa gani mtoa mada anauzungumzia maana kuna manzi yaani muda mwingi anaumwa na haulewi nini
 
Hii ya kuumwa kila wiki ni ugonjwa gani huo maana kuna manzi yuko kama hivyo ebu tujuze mkuu
 
Mimi binafsi sioni tatizo labda kama una ukimwi hapa nakimbia
 
Aisee leo Tlaatlaah unapige spana za maana sana kongole sana na huu uzi hautembei kabisa kwa sababu kila wakiusoma wanapata operesheni kabisa la msingi wabadilike bado hawajachelewa.
 
Hii kweli kabisa kuna Dada enzi zake alikuwa pini hasaaa na alikuwa anatoka na Wanaume wenye hela tu, Wenye nia aliwaona kama takataka eti sasa hivi anajibebisha mpaka kwa mtu kama Mimi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ na ukizingatia tayari ni single mother na Mtoto wake wa kwanza Baba yake alishakufa, mtoto wa pili alizaa na Msanii fulani ambaye naye kwa sasa kashafulia. Watia nia wa enzi zile bbado wanavimba tu yaani anasalimia kila Mwanaume hata Vijana wa 20's na yeye hapo alipo ana 39.
 

A case study of binti wa yombo vs nyundo et al...
 
 
Kwamba wanavuliwa cheo cha haja kubwa(malinda) akicheka kidogo tu🀣kanya
 
Hiki unachosema ni sahihi, nimeshashuhudia kwa mdogo wangu mmoja wa kike, kala sana ela za wanaume wa watu while alikuwa na mshahara wake wa laki 6.5.

Sasa hivi kila kijana anayemfata hamgusii ndoa, yupo 29. Miaka miwili nyuma na kuendelea alikuwa hashikiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…