Pre GE2025 Usingeweza kumkuta Hayati Magufuli akiacha upuuzi huu wa tuzo zisizo na maana kufanyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haters haki ya nani mtadondokwa na pedi njiani mwaka huu. Aisee mama anawapelekesha huyu, dah. Kinachonifurahisha ni ule mtindo wake wa kuwaignore, yaani Wala hahangaiki na nini' mmekunya, ye Yuko busy kutuletea maendeleo.
Ingekuwa busara (hata hivyo busara zitatoka wapi kwa nyumbu?!!!), mngeanza kwanza kwa kutuelezea hiyo tuzo Inatoka kwa sababu gani na kwa maana gani. Kwahiyo kama huyo mtu wenu alikuwa mshamba basi mnataka Kila mtu awe mshamba?!!!!!!!! Dunia haiko hivyo na Wala haihitaji hasira.
 
Maza anapenda sifa kumzidi hata yule mwehu wa CHATU
 
Nasemaje, haters mwaka huu mtadondokwa na pedi njiani
 
Ni kweli,mabeberu alikuwa amewabana kwa nguvunguvu soup kwa kubembelezana. Kumbuka alivyolamata MN akamikia. Kumbuka alivyowafix Wapinzani kwa kutumia Executive Order halali kwa watu wako busy kazini, kama Mbunge wataka Mkutano kaitishe kwenye Jimbo lako. Ukianza kumtukana Rais inakamatwa. Si unakumbuka amani ilotamalaki? Kiongozi kama hiyo hapewi tuzo, makanikia yenyewe ni tuzo tosha.
 
Ndo mana nchi ilimshinda mana alikuwa na wivu wa kike na gubu juu. Uongozi haulo hivyo. Uongozi siyo ugaidi
 
Mhhhh !
 
Ndo mana nchi ilimshinda mana alikuwa na wivu wa kike na gubu juu. Uongozi haulo hivyo. Uongozi siyo ugaidi
Sawa Dr. Nyerere, HONGERA kwa mapinduzi Tanzania ni nchi namba 1 kwa uchumi Duniani 👏👏👏
 
Magufuli asingeweza kupata zawadi km hiyo
 
Hata huyo Magufuli wako hiyo PhD yake ni ya mchongo,watu walivyoanza kumzongazonga aeleze vizuri wengine wamepotea hadi leo hata hawajulikani walipo.
Lakini angalau haikuwa ya Sifa ilikuwa Phd ya darasani
 
This is a whole new crappy hating level
 
Alivyokuwa anajenga uwanja was ndege wa Kimataifa Chato haya matatizo uliyoyataja hayakuwepo? Uwanja sahvi wanaanikia dagaa. Tuliza yako Magu ndio alikuwa wa hovyo kabisa
 
Mwanamke na mambo ya Maumaua damdam
 
Alivyokuwa anajenga uwanja was ndege wa Kimataifa Chato haya matatizo uliyoyataja hayakuwepo? Uwanja sahvi wanaanikia dagaa. Tuliza yako Magu ndio alikuwa wa hovyo kabisa
Angalau uwanja ulionekana, uko wapi huo uwanja wake wa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…