Usingizi nakosa kwa ajili yake

Usingizi nakosa kwa ajili yake

nini nawewe Toka humu.huu uzi haukuhusu mwenyewe ashafika
Unawaza hivi tu
e316350339b12a10d966dd7afb4718f5--honey-badger-pretty-animals.jpg
 
dada acha wivu nani kakwambia sina hela?
Ungekuwa unahela usingekuja kulia lia humu ungetafuta mawasiliano yake halafu umuombe outing sehemu maridadi halafu umtoe out tokea saa nane yaleo hadi saa kumi umpe hata laki mbili ya kumtakia siku njema hata siku ingine . Anakuja sasa unalia lia huku kama thaira wai wewe sio gentlemen wewe ni handcome sio handsome
 
mwenzio yupo ulaya huyu dada.acha kupiga makelele humu.
 
Back
Top Bottom