Usingizi nakosa kwa ajili yake

Usingizi nakosa kwa ajili yake

Mbona una hasira??? Na mm nimeweka mawazo yangu naona ni ufala...ww mbona unataka tusikilize mawazo ya mtoa mada..sasa mbona unapinga yangu...
unauliza maswali ya kitoto kama kaka yako wa youtube!
 
Nimeshamaliza kusoma comments…naombeni ushauri wa kumshauri sasa…[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Back
Top Bottom