Usingizi wa Haraka

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
9,245
Reaction score
18,347
Habari za usiku.

Jamani nauliza unaweza kufanyaje ili uwe na usingizi wa haraka ukishafika kitandani? maana mimi tangu nmeanza kujijua udogoni sinaga usingizi wa haraka.

Naweza kaa kitandani masaa mawili ,lisaa na nusu sijalala ,japo nikilala ndo mmelala haswaa kama nimezimia.
 
1.Epuka mwanga mkali chumbani kwako ukishapanda kitandani uzime taa ya chumbani kwako.
2.Epuka pia kutumia vitu vyenye mwanga kama simu,laptop ukishapanda kitandani.
3.Epuka makelele/sauti ya juu kama vile muziki
4.Usivae nguo za kubana wakati wa usiku-kama ni maeneo yenye joto inashauriwa kulala bila nguo kabisa ili mwili wako urelax. Au uvae nguo nyepesi na isiyobana mwili.
5.Hakikisha mwili wako ni msafi na mkavu-ni vyema kuoga vizuri na kujifuta kabla ya kupanda kitandani.
6.Epuka vinywaji kama chai/kahawa ambavyo vina caffeine ambacho ni kichocheo kinachofukuza usingizi.
7.Kama tayari umeolewa SEX ni njia nzuri sana na ya haraka ya kupata usingizi.
princess ariana
 
..sasa kma huna usingizi kwann unaenda kulala from the first place???!,kalale ukiwa unahisi kusinzia otherwise hamna tutakachokupa kikakusaidia
 
nashukuru sana kwa jibu..
simu huwa naweka chonjo mbali kabisa kuepuka wezi, kabatini
nazimaga taa.
kunakuaga kimya kabisa
siku nikinywa kahawa ndo silali mpaka kesho usiku..
sasa nataka kinjia kirahisi
 
..sasa kma huna usingizi kwann unaenda kulala from the first place???!,kalale ukiwa unahisi kusinzia otherwise hamna tutakachokupa kikakusaidia
naweka kaa seblen nikahisi kulala nasinzia kabisa nikifika usingizi unaisha wote
nna uwezo pia wakukaa masaa ma2 nmefumba machp nimetulia hivo hivo kama nmelala ila sijalala
yote hio kufosi usingizi
 
Usilale kabisa mwezi mzima then ndio ujaribu kama unaweza lala haraka
 
Dont try this pls. Itafika kipindi utakuwa unategemea hizo.dawa kupata usingizi yaani bila kunywa hizo hulali.Pia itakuwa inabidi uongeze dozi kila baada ya muda. Itakuwa ni sawa na mwanaume anaetegemea viagra kupata erection.
princess ariana
asante sana
naona mpendwa hakuwa serious[emoji24][emoji24]
 

Kama unaweza jaribu kuvuta ganja kabla hujalala, this is real.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…