Usingizi wa Haraka

Usingizi wa Haraka

1. Kula chakula cha kutosha chenye protini kama nyama.
2. Fanya mazoezi ya kutosha kila siku jioni.
3. Kunywa mvinyo mwekundu angalau glass moja baada ya chakula cha jioni.
4. Usitumie kahawa, chai, au energy drink yeyote muda wa jioni au masaa manne kabla ya kulala.
5. Kunywa maji ya kutosha yasiwe ya baridi.
6. Soma kitabu chochote ukiwa umepanda kitandani unasubiri kulala.( Sio thriller stories au zinazohusu action/blockbuster)
7. Epuka kelele kama kusikiliza muziki, kuangalia movie nyakati za kulala.
8. Kama umeolewa au unajihusisha na sex(conjugation) basi shiriki tendo kabla haujalala na hakikisha unajishughulisha kweliweli( just ride your mans di*k like you are are riding a horse) Just be active and lead the show. Hii utalala fofo dakika 3 tu baada ya kufikia climax/orgasm. Kwa wanaume ni fofo dakika 1 tu kama umefuata routine niliyokupa hapo juu ukamlizia na sex conjugation.
asante kwa uahauri
 
Habari za usiku..

Jamani nauliza unaweza kufanyaje ili uwe na usingizi wa haraka ukishafika kitandani? maana mimi tangu nmeanza kujijua udogoni sinaga usingizi wa haraka.

Naweza kaa kitandani masaa mawili ,lisaa na nusu sijalala ,japo nikilala ndo mmelala haswaa kama nimezimia.
Lala kwanza kwenye kochi ukiisha anza kusinzia nenda kitandani haraka
 
Ukiwa umechoka ni rahisi sana kupata usingizi jitahidi kufanya mazoezi au tafuta kitu cha kukufanya uconcetrate mawazo yako kwa lisaa limoja kama kuangalia movie kusoma kitabu au hata kufanya sala
 
Habari za usiku..

Jamani nauliza unaweza kufanyaje ili uwe na usingizi wa haraka ukishafika kitandani? maana mimi tangu nmeanza kujijua udogoni sinaga usingizi wa haraka.

Naweza kaa kitandani masaa mawili ,lisaa na nusu sijalala ,japo nikilala ndo mmelala haswaa kama nimezimia.


Usingizi una faida gani kwa binadam?
 
tumia kilevi kidogo kabla ya kulala husidia kuleta usingizi wa fasta fasta
 
Back
Top Bottom