Usingizi wa Haraka

Fanya kazi hasa zinazotumia akili ukiwa kazini usipende ku lelax sana

Mfano Mimi kwa kazi yangu ninayofanya ikifika saa nne napanda kitandani na kulala
 
Fanya kazi hasa zinazotumia akili ukiwa kazini usipende ku lelax sana

Mfano Mimi kwa kazi yangu ninayofanya ikifika saa nne napanda kitandani na kulala
tatizo sina kazi sasa..
na hizi za home kama za beki tatu hazinipi shida hata kubeba kiroba cha unga kawaida kwangu
 
nashukuru sana kwa jibu..
simu huwa naweka chonjo mbali kabisa kuepuka wezi, kabatini
nazimaga taa.
kunakuaga kimya kabisa
siku nikinywa kahawa ndo silali mpaka kesho usiku..
sasa nataka kinjia kirahisi
Njia rahisi ni hiyo namba 7
 
naweka kaa seblen nikahisi kulala nasinzia kabisa nikifika usingizi unaisha wote
nna uwezo pia wakukaa masaa ma2 nmefumba machp nimetulia hivo hivo kama nmelala ila sijalala
yote hio kufosi usingizi
Uko kama mimi. Una insomnia.
Mazoezi ya jioni yanasaidia sana.
Usinywe kahawa au chocolates hasa mida za jioni au usiku.
Mimi pia tangia mdogo kulala ni issue.
 
Dawa ya kupata usingizi kwa haraka chukuwa glasi 1 ya maziwa moto changanya na kijiko 1 cha asali koroga vizuri kisha unywe utapata usingizi mnono.Tumia kisha uje unipe Feedback.
 
naweka kaa seblen nikahisi kulala nasinzia kabisa nikifika usingizi unaisha wote
nna uwezo pia wakukaa masaa ma2 nmefumba machp nimetulia hivo hivo kama nmelala ila sijalala
yote hio kufosi usingizi
1. Kula chakula cha kutosha chenye protini kama nyama.
2. Fanya mazoezi ya kutosha kila siku jioni.
3. Kunywa mvinyo mwekundu angalau glass moja baada ya chakula cha jioni.
4. Usitumie kahawa, chai, au energy drink yeyote muda wa jioni au masaa manne kabla ya kulala.
5. Kunywa maji ya kutosha yasiwe ya baridi.
6. Soma kitabu chochote ukiwa umepanda kitandani unasubiri kulala.( Sio thriller stories au zinazohusu action/blockbuster)
7. Epuka kelele kama kusikiliza muziki, kuangalia movie nyakati za kulala.
8. Kama umeolewa au unajihusisha na sex(conjugation) basi shiriki tendo kabla haujalala na hakikisha unajishughulisha kweliweli( just ride your mans di*k like you are are riding a horse) Just be active and lead the show. Hii utalala fofo dakika 3 tu baada ya kufikia climax/orgasm. Kwa wanaume ni fofo dakika 1 tu kama umefuata routine niliyokupa hapo juu ukamlizia na sex conjugation.
 
Ushauri mkubwa, jaribu kufanya mazoezi.
Ukuweza fanya asubuhi na jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…