Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Usitumie dawa hata siku moja usingizi ni naturehaina madhara kiafya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitumie dawa hata siku moja usingizi ni naturehaina madhara kiafya?
Fanya kazi hasa zinazotumia akili ukiwa kazini usipende ku lelax sanaHabari za usiku..
jamani nauliza unaweza kufanyaje ili uwe na usingizi wa haraka ukishafika kitandani?
maana mimi tangu nmeanza kujijua udogoni sinaga usingizi wa haraka..
naweza kaa kitandani masaa mawili ,lisaa na nusu sijalala ,japo nikilala ndo mmelala haswaa kama nimezimia.
tatizo sina kazi sasa..Fanya kazi hasa zinazotumia akili ukiwa kazini usipende ku lelax sana
Mfano Mimi kwa kazi yangu ninayofanya ikifika saa nne napanda kitandani na kulala
niwe kichaa[emoji24][emoji24][emoji24]
haina madhara kiafya?
nitajitahidiUsithubutu kutafuta usingizi kwa kutumia dawa ya aina yoyote ile. Fuata ushauri wa @Dr Wansegamila post # 2.
ndioUmesema huna kazi? Tuanzie hapo
Njia rahisi ni hiyo namba 7nashukuru sana kwa jibu..
simu huwa naweka chonjo mbali kabisa kuepuka wezi, kabatini
nazimaga taa.
kunakuaga kimya kabisa
siku nikinywa kahawa ndo silali mpaka kesho usiku..
sasa nataka kinjia kirahisi
sijaelewaNjia rahisi ni hiyo namba 7
Nichek kesho pmndio
Uko kama mimi. Una insomnia.naweka kaa seblen nikahisi kulala nasinzia kabisa nikifika usingizi unaisha wote
nna uwezo pia wakukaa masaa ma2 nmefumba machp nimetulia hivo hivo kama nmelala ila sijalala
yote hio kufosi usingizi
Dawa ya kupata usingizi kwa haraka chukuwa glasi 1 ya maziwa moto changanya na kijiko 1 cha asali koroga vizuri kisha unywe utapata usingizi mnono.Tumia kisha uje unipe Feedback.Habari za usiku..
jamani nauliza unaweza kufanyaje ili uwe na usingizi wa haraka ukishafika kitandani?
maana mimi tangu nmeanza kujijua udogoni sinaga usingizi wa haraka..
naweza kaa kitandani masaa mawili ,lisaa na nusu sijalala ,japo nikilala ndo mmelala haswaa kama nimezimia.
1. Kula chakula cha kutosha chenye protini kama nyama.naweka kaa seblen nikahisi kulala nasinzia kabisa nikifika usingizi unaisha wote
nna uwezo pia wakukaa masaa ma2 nmefumba machp nimetulia hivo hivo kama nmelala ila sijalala
yote hio kufosi usingizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jana nmeanza kuwataja adamu na eva ,kaini na habili
yakobo na yusuph musa na haruni
mpaka nikalala hii njia nzuri ila sisomi night maana naumia macho
nawatajaga tu mawazoni
Zina madhara, usijaribuhaina madhara kiafya?
ntajitahidiUko kama mimi. Una insomnia.
Mazoezi ya jioni yanasaidia sana.
Usinywe kahawa au chocolates hasa mida za jioni au usiku.
Mimi pia tangia mdogo kulala ni issue.
nitajitahidi pia kutafuta asaliDawa ya kupata usingizi kwa haraka chukuwa glasi 1 ya maziwa moto changanya na kijiko 1 cha asali koroga vizuri kisha unywe utapata usingizi mnono.Tumia kisha uje unipe Feedback.