Usingizi wa Haraka

asante kwa uahauri
 
Lala kwanza kwenye kochi ukiisha anza kusinzia nenda kitandani haraka
 
Ukiwa umechoka ni rahisi sana kupata usingizi jitahidi kufanya mazoezi au tafuta kitu cha kukufanya uconcetrate mawazo yako kwa lisaa limoja kama kuangalia movie kusoma kitabu au hata kufanya sala
 


Usingizi una faida gani kwa binadam?
 
tumia kilevi kidogo kabla ya kulala husidia kuleta usingizi wa fasta fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…