Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Habari wana Jamii!
Kwa kawaida watoto wadogo ni wepesi wa kupata usingizi baada ya matukio fulani mf. baada ya kunywa uji, wengine hupata usingizi baada kulia, wengine baada ya kubebwa tu, n.k.
Nimekuwa nikijionea njia za kushangaza ambazo huwapatia watoto usingizi, mf:
MwanaJamii naomba tujulishhane vitu mbali mbali vinavyowapelekea watoto kupata usingizi haraka sana.

- Mwanangu hupata usingizi haraka sana, kama utampa taulo! Kuna kitaulo chake hapa nyumbani, huwa akipewa tu, anaanza kukinyonya, na hamalizi dk 10, analala!
- Rafiki yangu mmoja, kanambia Mwanae analala wakati wowote anapoona mtu, hata mtu mzima anasinzia, na yeye hupata usingizi!
- Kuna mwingine amenambia mwanae hupata usingizi kwa urahisi sana kama atahisi harufu ya mafuta ya gari, iwe ni kwenye dala dala ama hata gari binafsi!
MwanaJamii naomba tujulishhane vitu mbali mbali vinavyowapelekea watoto kupata usingizi haraka sana.