Usiniadhibu kwa kukupenda

Mwanaume wa kumkumbuka ni yule alokuwa akimpa.mwanamke matumizi yake yote, vijipesa vijizawadi etc.
Ila kwa wale wasimamia kucha eti utakumbukwa? Big no.
Mnatofautiana, wewe unawakumbuka waliokupa pay nzuri na kukupa maisha...wengine wanakumbuka kwa yao na wao.
 
Unapata wapi ujasiri wa kusema atakukumbuka? Tafuta hela kijana vinginevyo utaishia kulialia tu
 
Hukuwepo kwenye kile kikao cha mabaharia hakuna kuoa single mama ni chapa ilale. Alisikika akisema hivyo bujibuji akiwa anakariri mistari ya nyimbo yake.
 
Single mother na bado anakusimbua akili hivyo 😃😃
 
KATAA NDOA
NDOA NI UBINAFSI
NDOA NI BETTING
 
Acha kulalamika mkuu ...piga chini leta pisi plate namba D vipi mkuu[emoji15]
 
Atakaye uvaa mkenge akuweke ndani atajuta,
Kama wewe mpo wengi tu na si kuwa mmeumizwa ni vitabia umekuwa navyo vya dharau na ushamba tu unakusumbua badilika.
 
Mwanaume wa kumkumbuka ni yule alokuwa akimpa.mwanamke matumizi yake yote, vijipesa vijizawadi etc.
Ila kwa wale wasimamia kucha eti utakumbukwa? Big no.
Sema ukweli tu kila siku unamwanaume mpya utamkumbuka yupi acha tamaa za kishamba.
 
Sema ukweli tu kila siku unamwanaume mpya utamkumbuka yupi acha tamaa za kishamba.
Tamaa za kishamba? Nimekuomba nini? Ukija kukoment siku nyingine usikurupuke sio unaanza kuvamia usiowajua.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nimecheka sana , naona unaendeshwa kama tairi la gari
 
Amekutana na single mom mwenye C-section,k bado inavuta Kwa ndani.[emoji1787] Dunia hii mapenz hakuna.....upendo upo mwanzon tu baada ya hapo [emoji849]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] fyoko fyoko
 
Hahaha nimecheka huku nahuzunika kwa hii comment yako...pole sana to yeye

Nimeelewa hoja yako kulingana na uliyopitia
Binafsi hadi sasa namshukuru Mungu wanaume bado hawajanifanyia jambo baya kiasi cha kuwa na chuki nao ya kudumu
Inaweza kuwa haijawahi kufanyiwa jambo baya kiasi hicho Kwa sababu wewe ni mjanja mjanja ukiona red flag tu mbiooo , [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hutaki kung'ang'ania matatizo

Mara nyingi drama za kutisha ktk mahusiano Zina wakutakaga wale watu wanao jifanya kuwa wao ndio mabingwa wa kung'ang'ania na kupenda
 
Wewe ulitaka aseme amelala na wewe mbele ya mwanamke mwenzako ili iweje?! Wewe uliye lala nae si unajua kuwa umelala nae?! Huyo mwingine inamhusu nini na kwann unalazimisha kuongelea mambo personal mbele ya mtu mwingine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka sana, [emoji28]
 
Mwanaume wa kumkumbuka ni yule alokuwa akimpa.mwanamke matumizi yake yote, vijipesa vijizawadi etc.
Ila kwa wale wasimamia kucha eti utakumbukwa? Big no.
Hao ndio wanao ongozwa Kwa kukumbukwa now days Sasa ,

Wewe peleka peleka mazawadi Yako then uwe kimoja Chali uone jinsi Dunia ya mapenzi itakavyo kunyoosha , [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimejionea Kwa macho yangu sio mara 1 Wala mara 2
Wanawake wakiwalilia wasimamia ukucha baada ya kuachana nao
 
Unachanganywa na single mama je ukikutana na ma slay queen si utakufa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…