livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 967
- Thread starter
- #41
Mnatofautiana, wewe unawakumbuka waliokupa pay nzuri na kukupa maisha...wengine wanakumbuka kwa yao na wao.Mwanaume wa kumkumbuka ni yule alokuwa akimpa.mwanamke matumizi yake yote, vijipesa vijizawadi etc.
Ila kwa wale wasimamia kucha eti utakumbukwa? Big no.