Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #21
AiseeWewe ndiye ulikosea kusikiliza hay mazungumzo ya kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeWewe ndiye ulikosea kusikiliza hay mazungumzo ya kijinga
Nani yuko sahihialikua sahihi
Kweli ee?Nyege MBAYA sana
Nawe ni mdaku ndio maana ume CommentINAONEKANA WEWE KIJANA NI MBEA SANA - Anonymous
Ndio maana bikra amezifichaSehemu zinakua za siri kama hazijawahi kuonwa na watu wengine
Mwenye Bikra yake.Nani yupo sahihi??
Huyo bikra Yuko sahihi, sio lazima Kila mtu awe na mpenzi au afanye mapenzi kabla ya ndoaKwenye nini
Nipe namba ya huyo bikra, PM.Nipo zangu mlimani City kwenye manbo ya kushuti Content za youtube channel yangu
Tukiwa break mara wakaja wadada wawili buana mazungumzo yao yalikuwa hivi
Dada wa kwanza: my dia usipotoa kwa wanaume hata kidogo wakuonje onje hautaolewa,
Dada wa pili (bikra): kwahiyo mwenzetu wewe ulitoa kwa wanganui tabla haujaolewa?
Dada wa kwanza: boyfriend nilikuwa nao 3 tu, ila nishapita na wababa kibaooo
Dada wa pili (Bikra): kwahiyo Jamie safari ndio inaanza nitafute boyfriend watatu na wababa wakutosha??
Dada wa kwanza: sio lazima iwe ivyo unaweza bahatika
Dada wa pili (bikra): tafadhal me siwezi hayo maisha yako, kama kuolewa ni mpaka usulubiwe kwanza na wanaume na waume za watu me sitaweza
Alafu naomba nisipangiwe matumizi ya sehemu zangu za siri, kila mtu ameumbwa na zake, tusipangiane wapi pa kuwekesha zangu
Je huyu bikra alikosea kumjibu mwenzake??
We unaenda haja kwa kutumia sehemu gan?Sehemu za siri siku hizi hazipo. Labda litumike neno lingine
SauwaMwenye Bikra yake.
Ipi?,Katiba mpya ni sasa katiba mpya ni sasa
Sawa mchungajiHuyo bikra Yuko sahihi, sio lazima Kila mtu awe na mpenzi au afanye mapenzi kabla ya ndoa
Njoo pm uchukueNipe namba ya huyo bikra, PM.
Aiseekufikiria ngono tuh kama tumbili
Haja gani wakati natoa waste kwa kutumia ngozi kwa sasa?🏃♂️🏃♂️We unaenda haja kwa kutumia sehemu gan?