Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
AiseeHaja gani wakati natoa waste kwa kutumia ngozi kwa sasa?🏃♂️🏃♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeHaja gani wakati natoa waste kwa kutumia ngozi kwa sasa?🏃♂️🏃♂️
Mnawavuruga mabikra wa watuNoma sana.
Sip mimi lakiniMnawavuruga mabikra wa watu
SauwaSip mimi lakini
Labda bikra ya puaKumbe mabikra bado wapo
Kwani anko, bikra ziko ngap kwa mwanamke,Labda bikra ya pua
Naomba jina la Youtube channel yako nikuungishe number of subscribers.Nipo zangu mlimani City kwenye manbo ya kushuti Content za youtube channel yangu
Tukiwa break mara wakaja wadada wawili buana mazungumzo yao yalikuwa hivi
Dada wa kwanza: my dia usipotoa kwa wanaume hata kidogo wakuonje onje hautaolewa,
Dada wa pili (bikra): kwahiyo mwenzetu wewe ulitoa kwa wanganui tabla haujaolewa?
Dada wa kwanza: boyfriend nilikuwa nao 3 tu, ila nishapita na wababa kibaooo
Dada wa pili (Bikra): kwahiyo Jamie safari ndio inaanza nitafute boyfriend watatu na wababa wakutosha??
Dada wa kwanza: sio lazima iwe ivyo unaweza bahatika
Dada wa pili (bikra): tafadhal me siwezi hayo maisha yako, kama kuolewa ni mpaka usulubiwe kwanza na wanaume na waume za watu me sitaweza
Alafu naomba nisipangiwe matumizi ya sehemu zangu za siri, kila mtu ameumbwa na zake, tusipangiane wapi pa kuwekesha zangu
Je huyu bikra alikosea kumjibu mwenzake??
Nimekutumia inbox angaliaNaomba jina la Youtube channel yako nikuungishe number of subscribers.
Uweee😀😀😀bikra huyo
Sana lo
Haujaja whatsapp kwanini
Haujaja whatsapp kwanini?Sana lo
Huyo Mtu hataki kupangiwa matumizi yaile kitu yake
Kweli sijakuona whatsapp