Usinunue iphone 13

Excuse za watu wasio na hela zinachekesha sana,[emoji23]nasubiria ifike kwa hamu apa nipeleke 12pro nipewe 13pro,lazima kieleweke
Unatumia simu kwa uogauoga ili isidondoke kisa itakapo kuja mpya ukabadilishe? Huo ni umasikini. Tumia simu inapokuja mpya huna haja ya kuibadilisha tafuta mtu umpe/muuzie igawe au iweke kama makumbusho kisha chana wallet ukanunue mpya udhihirishe umwamba wako unaousema hapo
 
unajua cristiano ronaldo anatumia simu gani ?
sadio mane je ?

i phone ni overated ndio maana mnauziwa fake za china

mkiambiwa ukweli mnasema mna hela

nyinyi ni wajinga wajinga
hapo una i phone 6 unajiona waliomo wamo
[emoji3][emoji3]
 
Tusipangiane maisha.
 
Ukichunguza utakuta mtu hata kiwanja Hana anapangisha Kama mzigo lakini anajitutumua kutoa mil.4 kumiliki iPhone 13 kisa tu aonekane mjanja wa mjini.

Angalia kesho yako usiangalie vitu vya kupita ambavyo kila siku vinapotea na kuja vingine vipya.

Kama una uwezo si vibaya kununua kitu Cha garama kulingana na uwezo wako Ila Kama maisha yako ya kuungaunga usijitoe kijasho bro jipange kwanza mengine yatafuatia.
 
Hizo simu wapo watu wa aina nne..
1. Wale wanaojua kwanini inauzwa bei kubwa na wapo tayari kuilipia ili wapate kilichomo humo

2. Wale wanaojua kwanini inauzwa bei kubwa na hawapo tayari kulipia sababu hawana matumizi na kilichopo humo

3. Wale wasiojua kwann inauzwa bei kubwa ila ni watu wa mkumbo, fashion na wapo tayari kupoteza mengine ili awe nayo lakini hana matumizi ya msingi zaidi ya picha picha video na upuuzi unaofanana na hayo.

4. Wale wasiojua kwann inauzwa bei kubwa, wanashangaa kwann iuzwe hiyo bei.

Lifahamu kundi lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…