Usinunue iphone 13

Usinunue iphone 13

Unanunua iPhone 13 father house unamkimbia wewe ni popoma

Unanunua iPhone 13 unapanda daladala wewe ni popoma mkuu

Unanunua iPhone 13 vocha unaweka ya buku wewe ni popoma kanali

Unanunua iPhone 13 kwa mwaka storage yako ni GB 30 tu wewe ni superintendent popoma in charge

Unanunua iPhone 13 ili upate sifa ( na infact no body cares) wewe Popoma in Chief (PiC)

Vijana acheni kuishi maisha ya kuigiza there's life ahead and you'll be left succumbing on your own. Invest, invest, invest. Usiishi kufurahisha umma.
Wabongo ni changamoto sana. iPhone ndio the best world class phone sababu ya best engineering and art combination. Ni durable na ina the best operating system on earth. Tumia hela yako nunua nokia kitorch zingine invest. Acha anayependa iPhone na kuifurahia anunue, pesa ni yake!
 
Yaani hapa ni sawa na kumwambia mtu asinunue Range Rover anunue ist ikiwa uwezo anao eti sababu inakofika Range na ist inafika. Short sighted!
 
unajua cristiano ronaldo anatumia simu gani ?
sadio mane je ?

i phone ni overated ndio maana mnauziwa fake za china

mkiambiwa ukweli mnasema mna hela

nyinyi ni
Ukichunguza utakuta mtu hata kiwanja Hana anapangisha Kama mzigo lakini anajitutumua kutoa mil.4 kumiliki iPhone 13 kisa tu aonekane mjanja wa mjini.

Angalia kesho yako usiangalie vitu vya kupita ambavyo kila siku vinapotea na kuja vingine vipya.

Kama una uwezo si vibaya kununua kitu Cha garama kulingana na uwezo wako Ila Kama maisha yako ya kuungaunga usijitoe kijasho bro jipange kwanza mengine yatafuatia.
Hiyo kesho ni ya Mungu sio yako. Don’t live in the future!
iPhone mtu asiyekuwa na uwezo wa kuinunua lazima awachukie walio na simu hizo lakini ukweli ni kuwa hata yeye anapenda awe nayo!
 
Mkuu 1TB unatunza nini kwenye simu?

Mimi kwenye simu hua sizidishi 50GB, hapa nina simu ina 256GB najiuliza nitazijaza lini hizi?

Mimi napenda simu kubwa hizi ila sio kwa sababu ya storage, ni kwa sababu ya functionalities zake.

Toka nimeanza kutumia simu nimefanya analysis naona simu za 64GB zinanitosha kabisa sema nyingi za hivyo hazina functionalities nazotaka kama good camera, higher refresh rate, high screen resolution na mambo kama hayo.
Wewe ni kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23] kidogo saiv inanukia 85GB lakini bado haina dalili ya kujaa
 
Yaani hapa ni sawa na kumwambia mtu asinunue Range Rover anunue ist ikiwa uwezo anao eti sababu inakofika Range na ist inafika. Short sighted!
Hoja hapa sio kwa mwenye uwezo huyo aendelee.. ila mtu ni mkataufuta anaungaunga tu lisimu la bei ya mradi wa maana unaoleta fedha nyingi la nini si anunue simu simple tu hiyo fedha awekeze!?
 
Wabongo ni changamoto sana. iPhone ndio the best world class phone sababu ya best engineering and art combination. Ni durable na ina the best operating system on earth. Tumia hela yako nunua nokia kitorch zingine invest. Acha anayependa iPhone na kuifurahia anunue, pesa ni yake!
Ni sahihi pesa ni yake kama ilivo kufa na kuzaliwa kila mmoja kivyake ndivyo ilivyo kwenye expenditure...hapa tunashauriana tu....mostly hizo simu watatumia kuitukana serikali kwamba haiwapi pesa wapumbafu kabisa hao...kwa milionea pongezi kumiliki kifaa cha kisasa

No wonder tuna watu wanalazimisha kuishi maisha ya juu yasilingana na kipato...utakuwa mhalifu tu ukiiga kunya kwa tembo
 
Wewe ni kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23] kidogo saiv inanukia 85GB lakini bado haina dalili ya kujaa
wewe walau unafikisha zaidi ya 60, mimi niliwahi kua na GB nyingi ni 54, hapo apps, videos, pictures na kila kitu ndio inafika hiyo 54GB na hapo nilikua nimezunguka nchi nzima nikawa narecord maeneo, matukio na kila kitu zaidi ya miezi 4.
 
Mimi ni videos na picha za watsap. Nikitulia nikazifuta itapungua sana
 
IMG_-i485i7.jpg
 
Nitanunua kwasababu ya storage tu. Kazi zangu nahitaji storage kubwa na ndio iPhone ya kwanza kuwa na 1TB. Baada ya hapo sitanunua smartphone kwa miaka 10 ijayo labda niibiwe.

Kama storage mbona memory card zipo za 1TB, ukiwa na android hiko sio kikwazo.
 
Mkuu 1TB unatunza nini kwenye simu?

Mimi kwenye simu hua sizidishi 50GB, hapa nina simu ina 256GB najiuliza nitazijaza lini hizi?

Mimi napenda simu kubwa hizi ila sio kwa sababu ya storage, ni kwa sababu ya functionalities zake.

Toka nimeanza kutumia simu nimefanya analysis naona simu za 64GB zinanitosha kabisa sema nyingi za hivyo hazina functionalities nazotaka kama good camera, higher refresh rate, high screen resolution na mambo kama hayo.
Hebu tuache wenye hela zetu zipate matumizi dogo
 
Unatumia simu kwa uogauoga ili isidondoke kisa itakapo kuja mpya ukabadilishe? Huo ni umasikini. Tumia simu inapokuja mpya huna haja ya kuibadilisha tafuta mtu umpe/muuzie igawe au iweke kama makumbusho kisha chana wallet ukanunue mpya udhihirishe umwamba wako unaousema hapo
Hiyo inaonyesha kuipata hiyo ya kwanza alipambana sana na huenda kuna vitu aligawa kwa wanaume wenzake 😂😂😂
 
Back
Top Bottom