Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo ni changamoto sana. iPhone ndio the best world class phone sababu ya best engineering and art combination. Ni durable na ina the best operating system on earth. Tumia hela yako nunua nokia kitorch zingine invest. Acha anayependa iPhone na kuifurahia anunue, pesa ni yake!Unanunua iPhone 13 father house unamkimbia wewe ni popoma
Unanunua iPhone 13 unapanda daladala wewe ni popoma mkuu
Unanunua iPhone 13 vocha unaweka ya buku wewe ni popoma kanali
Unanunua iPhone 13 kwa mwaka storage yako ni GB 30 tu wewe ni superintendent popoma in charge
Unanunua iPhone 13 ili upate sifa ( na infact no body cares) wewe Popoma in Chief (PiC)
Vijana acheni kuishi maisha ya kuigiza there's life ahead and you'll be left succumbing on your own. Invest, invest, invest. Usiishi kufurahisha umma.
Yaani hapa ni sawa na kumwambia mtu asinunue Range Rover anunue ist ikiwa uwezo anao eti sababu inakofika Range na ist inafika. Short sighted!Unanunua iPhone 13 father house unamkimbia wewe ni popoma
Unanunua iPhone 13 unapanda daladala wewe ni popoma mkuu
Unanunua iPhone 13 vocha unaweka ya buku wewe ni popoma kanali
Unanunua iPhone 13 kwa mwaka storage yako ni GB 30 tu wewe ni superintendent popoma in charge
Unanunua iPhone 13 ili upate sifa ( na infact no body cares) wewe Popoma in Chief (PiC)
Vijana acheni kuishi maisha ya kuigiza there's life ahead and you'll be left succumbing on your own. Invest, invest, invest. Usiishi kufurahisha umma.
unajua cristiano ronaldo anatumia simu gani ?
sadio mane je ?
i phone ni overated ndio maana mnauziwa fake za china
mkiambiwa ukweli mnasema mna hela
nyinyi ni
Hiyo kesho ni ya Mungu sio yako. Don’t live in the future!Ukichunguza utakuta mtu hata kiwanja Hana anapangisha Kama mzigo lakini anajitutumua kutoa mil.4 kumiliki iPhone 13 kisa tu aonekane mjanja wa mjini.
Angalia kesho yako usiangalie vitu vya kupita ambavyo kila siku vinapotea na kuja vingine vipya.
Kama una uwezo si vibaya kununua kitu Cha garama kulingana na uwezo wako Ila Kama maisha yako ya kuungaunga usijitoe kijasho bro jipange kwanza mengine yatafuatia.
Wewe ni kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23] kidogo saiv inanukia 85GB lakini bado haina dalili ya kujaaMkuu 1TB unatunza nini kwenye simu?
Mimi kwenye simu hua sizidishi 50GB, hapa nina simu ina 256GB najiuliza nitazijaza lini hizi?
Mimi napenda simu kubwa hizi ila sio kwa sababu ya storage, ni kwa sababu ya functionalities zake.
Toka nimeanza kutumia simu nimefanya analysis naona simu za 64GB zinanitosha kabisa sema nyingi za hivyo hazina functionalities nazotaka kama good camera, higher refresh rate, high screen resolution na mambo kama hayo.
Hoja hapa sio kwa mwenye uwezo huyo aendelee.. ila mtu ni mkataufuta anaungaunga tu lisimu la bei ya mradi wa maana unaoleta fedha nyingi la nini si anunue simu simple tu hiyo fedha awekeze!?Yaani hapa ni sawa na kumwambia mtu asinunue Range Rover anunue ist ikiwa uwezo anao eti sababu inakofika Range na ist inafika. Short sighted!
Ni sahihi pesa ni yake kama ilivo kufa na kuzaliwa kila mmoja kivyake ndivyo ilivyo kwenye expenditure...hapa tunashauriana tu....mostly hizo simu watatumia kuitukana serikali kwamba haiwapi pesa wapumbafu kabisa hao...kwa milionea pongezi kumiliki kifaa cha kisasaWabongo ni changamoto sana. iPhone ndio the best world class phone sababu ya best engineering and art combination. Ni durable na ina the best operating system on earth. Tumia hela yako nunua nokia kitorch zingine invest. Acha anayependa iPhone na kuifurahia anunue, pesa ni yake!
wewe walau unafikisha zaidi ya 60, mimi niliwahi kua na GB nyingi ni 54, hapo apps, videos, pictures na kila kitu ndio inafika hiyo 54GB na hapo nilikua nimezunguka nchi nzima nikawa narecord maeneo, matukio na kila kitu zaidi ya miezi 4.Wewe ni kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23] kidogo saiv inanukia 85GB lakini bado haina dalili ya kujaa
Mimi ni videos na picha za watsap. Nikitulia nikazifuta itapungua sanawewe walau unafikisha zaidi ya 60, mimi niliwahi kua na GB nyingi ni 54, hapo apps, videos, pictures na kila kitu ndio inafika hiyo 54GB na hapo nilikua nimezunguka nchi nzima nikawa narecord maeneo, matukio na kila kitu zaidi ya miezi 4.
Nitanunua kwasababu ya storage tu. Kazi zangu nahitaji storage kubwa na ndio iPhone ya kwanza kuwa na 1TB. Baada ya hapo sitanunua smartphone kwa miaka 10 ijayo labda niibiwe.
Hebu tuache wenye hela zetu zipate matumizi dogoMkuu 1TB unatunza nini kwenye simu?
Mimi kwenye simu hua sizidishi 50GB, hapa nina simu ina 256GB najiuliza nitazijaza lini hizi?
Mimi napenda simu kubwa hizi ila sio kwa sababu ya storage, ni kwa sababu ya functionalities zake.
Toka nimeanza kutumia simu nimefanya analysis naona simu za 64GB zinanitosha kabisa sema nyingi za hivyo hazina functionalities nazotaka kama good camera, higher refresh rate, high screen resolution na mambo kama hayo.
Nunua alafu utuletee mrejesho wa kupata 10-15 millions wakati mwengine watu wa humu kwenye mitandao wakuangalia na kuwaogopa kuliko Njaa
Mimi ni hiki tu... 120hz ni tamu sana jamaa wa iphone walikuwa wanamiss kitu kizuri mno1. 120hz refresh rate.
Karibu umepata mama,mi nawewe tumetoka mbali
Babe unatafuta sababu ya kutoninunulia iphone jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji1787]
Anataka aninunulie infinix eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Alivyokazana kuipondaaa sijuiii
Hiyo inaonyesha kuipata hiyo ya kwanza alipambana sana na huenda kuna vitu aligawa kwa wanaume wenzake 😂😂😂Unatumia simu kwa uogauoga ili isidondoke kisa itakapo kuja mpya ukabadilishe? Huo ni umasikini. Tumia simu inapokuja mpya huna haja ya kuibadilisha tafuta mtu umpe/muuzie igawe au iweke kama makumbusho kisha chana wallet ukanunue mpya udhihirishe umwamba wako unaousema hapo
iPhone 13 min itakuwa na bei gani Kwa hapa bongoMimi ningekuwa na hela ningenunua.
Ni ukata tu unaonikwamisha.
Lakini ipo siku Mambo yatakaa freshi nitanunua hata Kama tutakuwa tumefikia iPhone 49.
Tunarekodi picha safi tukiwa jikoni tunapika au tunaosha vyombo sio chumbaniAsanteee ila kurekodiana sasa hapo mtihani yailah