Usinyoe nywele za sehemu za siri ukamaliza zote na kuacha kipara, zina umuhimu wake

Usinyoe nywele za sehemu za siri ukamaliza zote na kuacha kipara, zina umuhimu wake

Mpaka leo sijajua umuhimu wa nywele za kichwani. Hivi zina kazi gani? Zina faida yoyote?
 
Hii dunia kuna utofauti mkubwa sana kitamaduni.

Japan, fahari ya mwanamke ni kuwa na nywele huko chini. Na hamna cha harufu wala mdogo wake harufu. Sasa awe ametoka kuoga na zile shampoo zao, kama ni mlaji wa hapo, utalamba mpaka atakuambia "ai shiteru"
 
Mi nna mwaka sijanyoa na zinanisaidia kuepukana na hayo magonjwa ya kuambukiza,na yanaongeza vionjo kwenye mapenz,(kushikwa shikwa na mupenz wangu)
 
huwa nanyoa style ya panki au kiduku miaka yote
 
Mavuzi yanafaida nyingine. Wakati wa majambos yanasadia kunogesha kwa kumkuna mwenzi.
 
Kuanzia awamu ijayo na suka raster
 
Naungana na mleta mada, achilia mbali magonjwa pia ukipiga kipara unaweza pata mapele!!!

Piga panki usinyoe kipara
 
Back
Top Bottom