Usinyoe nywele za sehemu za siri ukamaliza zote na kuacha kipara, zina umuhimu wake

Usinyoe nywele za sehemu za siri ukamaliza zote na kuacha kipara, zina umuhimu wake

Kwani huwa ni kungo'a au kunyoa? Ukinyoa unakata hivyo bado kuna kipande cha mzizi kinabaki unless unaamua kung'oa ndio vitundu vitakuwa wazi na kuruhusu saaa bakteria kuingia
 
Napenda kunyoa/kufyeka/kupuruni musitu wa amazoni kiasi siyo kuumaliza kabisa maana nilishaga wahi kunyoa vuzi lote niliwashwa sana pindi vuzi linaota
 
Napenda kunyoa/kufyeka/kupuruni musitu wa amazoni kiasi siyo kuumaliza kabisa maana nilishaga wahi kunyoa vuzi lote niliwashwa sana pindi vuzi linaota
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    9.8 KB · Views: 87
kwani mungu alipotengeneza hizo nywele hakua na akili?
Na Mungu alipompa mwanadamu akili za kutawala viumbe wengine na mazingira yake hakuwa na akili..
Hili la kunyoa nywele za sehemu za siri ili kuepuka harufu mbaya na bakteria wanaoweza kujificha maeneo hayo pia linahitaji semina na matamasha..
 
Tafiti zingine bwana!
Kwa wenye umri chini ya balehe imekaaje hiyo?

Kabla hujashabikia tafiti zisizojitosheleza jaribu kujiuliza maswali kadhaa na upate jibu mwenyewe.
 
Umechelewa kuleta habari ndio nanyoa hapa
 
Hapo kuna ukweli, huwa najiuliza kwa nini tunaota mavu.... tunapofikia baleghe, na kwa nini ziote sehemu nyeti tu, mungu hakosei, kila alichokiweka kwa mwanadamu kina umuhimu wake
Sawa kabisa mkuu, kila kiungo au unywele mwilini una maana yake, hatusemi usizichonge, kupunguza au kurembesha, ila ni muhimu kuzingatia hii mada...nywele makwapani zina maana yake, kope na kwenye kidevu (kwa wanaume), puani na sehemu za sukari, hata kule nyuma, kweli kabisa..
 
Back
Top Bottom