Usioe usioe, Narudia tena mpendwa usioe!

huyu ni Gudume? au mnafanana misimamo???vijana wadogo wanaosoma hapa watakua na different attitude kuhusu wanawake...sijui mnapata nini na hii negativity|?
Haya mashambulio yanayoikumba jinsia pendwa yananiumizaga saana... Ila at least mmeanza kuambiwa ukweli... Wee Dada mipaja nje Kama huyo unaoa wa Nini.. kwanini tuu usitafute mwanamke mtulivu...
Update za mabaharia nadhani zimewafunza kuwa mnachukuliwa kuwa Ni wakupigwa tu na at least mtaanza kujiheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…