Usioe usioe, Narudia tena mpendwa usioe!

Ukiona msichana anakuja kwako anakula halafu vyombo vichafu uoshe ww my friend usioe!!!
Mkuu umentonesha kidonda[emoji23][emoji23]kunalimanzi hapa nlipopanga anadoto wake yeye ni kulwa.... Alinambia anataka nimuowe ananipenda sana..... Sas one day mnyam nkakaa kwenye jiko nkaivisha vyakura kidogo..... Kikaiva nkamp akaend kulia kwa ndugu yake..... NashangAA Ananludishia vyombo vichafu[emoji23][emoji23][emoji23]
SIOWI
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…