BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Ukiona msichana mnakwich kwich halafu hafumbi macho kusikilizia utamu USIOE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mbongo bro
Manina zako
Cha wote wale kuna mmoja alikua anapigwa machine saiv hapa yaan ni hatar fayaaaMuiraq yaani Mmbulu sio?
Kabsaa kuna mmoja nlikua nae huyoukiona msichana mrembo sana usioe ni mali ya umma.
Mwambie huyo Chakubanga ukweli unaumaHaisaidii kutukana, huo ndio ukweli
Writing with Experience....na ile "mizigo" aliyosema sheikh kipoozeo...isiyo na mwenyewe...yenye kuleta mitikhani mwezi mtuukufu>??
Hili sio la kuulizaUkiona mwanamke CCM usioe
Tayari hapaEee? Umesema?
Kwa lugha nyepesi hakuna tena kuoa.
sasa mnataka wanyakyusa tu?Ukiona msichana ni Mnyiramba au Mu Iraq usioe...
ujinga ujinga kichwani tu, mke mzuri hutengenezwa, yuko kama alivyo sababu hana wa kumtengenezahuyu ni Gudume? au mnafanana misimamo???vijana wadogo wanaosoma hapa watakua na different attitude kuhusu wanawake...sijui mnapata nini na hii negativity|?
Aisee hapa dawa ni kuoa walio bush tu town naona ni polluted[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
- Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea USIOE.
- Úkiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo ya kubana sana halafu anatembea bila aibu mtaani USIOE
- Ukiona msichana anakunywa pombe na kulewa akiwa bar USIOE
- Úkiona msichana anaujasiri wa kusimama na wanaume hovyo barabarni bila kuona aibu USIOE
- Ukiona msichana anaujasiri wa kukujibu mbovu hadharani USIOE
- Ukiona msichana anatoa hela anasuguliwa miguu USIOE
- Ukiona msichana unamtumia vocha halafu anakubipu USIOE >
-Ukiona msichana ni mjuaji juaji USIOE
-ukiona msichana ni muongeaji sanduku la maoni la mwendokasi likasome USIOE
-ukiona msichana ametendwa zaidi ya Mara mbili kwenye mahusiano USIOE
-ukiona msichana anapenda kupigia picha kwenye dressing table za lodge, kwa marafiki, saloon huku yeye dressing table yake ni dirishani USIOE
-ukiona msichana amehudhuria harusi zaidi ya tano na bado yupo kwao USIOE
-ukiona msichana kavaa mipete kumbe Hana mume wala mchumba USIOE huyo tayari keshaolewa na shetani
-Ukiona msichana anapenda Sana kupiga picha na kuonesha makalio kwa kuyabinua Kama mtetea anaandaa mazingira ya kupandwa na jogoo USIOE
-Ukiona msichana........ ENDELEA NA WEWE [emoji3][emoji3]View attachment 1114361
Town nyuma ya tra kuna bara bara jion wanajiuza hapoSingida pande zipi mzee na mimi niendee
Kwann??Ukiona msichana ni Mnyiramba au Mu Iraq usioe...
KwannUkipata msichana akawa ni mnyakusa mwalimu usioe