Usioe usioe, Narudia tena mpendwa usioe!

Acha uoga mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke wa Kichaga mwenye Elimu kubwa au asie na Elimu ambae kila mkikaa anakuletea mipango mingiii ya biashara kama vile anakuona huna mwelekeo.
USIOE FUTA WAZO HILO KABISA
 
Suala la kuoa na kuolewa ni la kibinafsi sana kwa mtu kutoa au kuchukua ushauri kwenye mitandao bila uchunguzi binafsi kujiridhisha zaidi.

Za kuambiwa changanya na zako.

Rapper Jay-Z alimwambia Jermaine Dupri asiingie mkataba na ligi ya American Football (NFL), kwa sababu za activism, halafu yeye mwenyewe Jay-Z akaingia mkataba huo huo.

Unaweza kukubali ushauri kukataa kitu kwa maoni ya mtu mwingine ambayo hayana uhalisi kwako, halafu ukashangaa matokeo yule aliyekushauri hajautumia ushauri wake mwenyewe.
 
Mwanamke asiyekuwa na sifa unazotaka/usiyeendana nae usioe vinginevyo utamtesa/atakutesa pia ndoa itawashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…