Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Mimi natafutwa mkuu, sitafuti.

Bado unacheza na probability za kufikirika, hujaeleza ukikutana na mtu mtaani utahakikishaje hayupo JF.
 
Mwanamke ni chombo kisicho na nguvu ila kinahisia kali na akili sana ndiyo maana tukiambiwa tutumie akili kuishi nao.

Hakikisha mwanamke hakutangulii hatua moja mbele (hapa wenye wanawake watanielewa) , akisha kutangulia hatua moja mbele umepoteza mamlaka juu yake haijalishi umelipa mahari kumnunua au haujalipa mahari.

Hapo sijaongelea kiuchumi
 
Sidhani kama hoja yako ni sahihi

Lastborn wangu alipata Mwanamke hapa hapa JF enzi hizo ikiitwa Jambo Forum na Walifunga ndoa yao Mwaka 2009

Unataka niwaletee ushahidi wa Picha au Video? Maana siku ya Harusi yao Lilipigwa Kwaito la kufa mtu 😜

Note;
Wanawaka wa JF ndiyo hao hao waliopo Twitter, Instagram, Snapchat, Tinder, Facebook you name it 🙌

Muhimu ni kumshirikisha Mungu wakati unatafuta mwenza wako.

Wanasema atakupa wa Kufanana naye
 
Mimi natafutwa mkuu, sitafuti.

Bado unacheza na probability za kufikirika, hujaeleza ukikutana na mtu mtaani utahakikishaje hayupo JF.
Wengi wao wanasahau kulog off a/c zao za Jf na iliuweze kujua lazima iwe mjanja mjanja najasiri.

Ila wahuku kuwajua ni simple maana unaanza nae huku mpaka mtaani
 
PM ni kuchukua namba na kukutana nae live, nilio kutana nao ni wakike na nimefagia wengi ana kwa ana katika kukamilisha utafiti wangu.


Nipo hapa kuwaambia vijana Jf hakuna mke huku wapo wauzaji
Bila picha na kutaja ID zao huu ni uzushi kama ulivyo uzushi mwingine, mfano Mrema akishinda urais tutakunywa maji kwenye karai. 😆
 
Bila picha na kutaja ID zao huu ni uzushi kama ulivyo uzushi mwingine, mfano Mrema akishinda urais tutakunywa maji kwenye karai. [emoji38]
Naheshimu faragha zenu na ninajua ujumbe umefika, list ipo na namba zenu za simu zipo na majina yenu halisi yapo, mnapotokea chimbuko lenu hadi mnapo kaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…