Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Mleta uzi jifunze kuwa na hekima [emoji23][emoji23][emoji23]
Binadamu sote tuna kasoro kibao hata kupigwa vizinga nayo ni kasoro moja wapo sijui mtazamo wako kuelekea mti wa jinsi tofauti yako uko vipi? Au unadhani kupata namba ya Ke humu unajiona kama umeshapiga one step ahead kwenye kulimega tunda?
Mbona humu wengine tunawasiliana nao lakini sio kwa matazamio ya kutaka kula tunda hata akiniomba vocha namrushia, hela ya juice/soda namrushia pasipo kuwa na dhamira ya kutaka mahusiano au kupewa tunda.
Kuwa na mawazo yenye usawaziko. Ukiwa una mawazo tofauti na matarajio yako utaumia sana roho na utavurugika sana akili.
Umesoma uzi ukaelewa au umekurupuka mkuu,? anza kusoma tena alafu urudi hapa
 
Back
Top Bottom