Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Naheshimu faragha zenu na ninajua ujumbe umefika, list ipo na namba zenu za simu zipo na majina yenu halisi yapo, mnapotokea chimbuko lenu hadi mnapo kaa.
β€œZenu” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We acha bwana!

Utaendelea kuota hivyo hivyo.

Achana na faragha weka mambo hadharani, ukipigwa ban si utafungua ID nyingine?
 
Mimi na tafuta mke humu mbona unanikatisha tamaa?
 
Mleta uzi jifunze kuwa na hekima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Binadamu sote tuna kasoro kibao hata kupigwa vizinga nayo ni kasoro moja wapo sijui mtazamo wako kuelekea mti wa jinsi tofauti yako uko vipi? Au unadhani kupata namba ya Ke humu unajiona kama umeshapiga one step ahead kwenye kulimega tunda?
Mbona humu wengine tunawasiliana nao lakini sio kwa matazamio ya kutaka kula tunda hata akiniomba vocha namrushia, hela ya juice/soda namrushia pasipo kuwa na dhamira ya kutaka mahusiano au kupewa tunda.
Kuwa na mawazo yenye usawaziko. Ukiwa una mawazo tofauti na matarajio yako utaumia sana roho na utavurugika sana akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…