Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Mbona Kuna waliooa JF na wameleta feedback kuwa ndoa zao zinaendelea vizuri tu. JF ladies si ndio hao hao wa mtaani
tinder na badoo ladies si ndio hao hao wa mitaani ?!! Kila mwanasiasa ni raia je raia wote wanatabia za uongo kama wanasiasa ??!!

Mwanamke wa tinder ndio anatoka mtaani ila hafai na hana utulivu kama wale wa mtaani na hawapo tinder

Halikadhalika Mwanamke wa jf ndio anatoka mtaani ila hafai na hana utulivu kama wale wasio- jf
 


Una heshima kabisa, Hata Dada yangu kipenzi @faizafox
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ™„
Aiseer nimecheka,kumbeee
 
Haki vile usiombe upate picha zao mbilikimo pro max,kitambi cha kufutia simu,meno kama magimbi ya Ifakara,Macho mekundu kama nyanyaπŸ’πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Dada si tulikubaliana mwanaume mashine na pesa? πŸ˜‚ Labda wana mashine na pesa.

Ngoja nijitafutie zangu mmoja nitaleta uzi na mimi kama yaliyomo…..😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…