makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mwanaume mwenye pesa anapoteza mda wake kuandika uzi wa masaa 2,Hawa wote kajamba nani humu kuna ma boss ila huwaoni hata kuchangia ni mara chache sana mda wote simu iko bizze wanaingiza pesa.Dada si tulikubaliana mwanaume mashine na pesa? 😂 Labda wana mashine na pesa.
Ngoja nijitafutie zangu mmoja nitaleta uzi na mimi kama yaliyomo…..😜
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Ila mambo ya humu ndani yanachekesha sana,
Nyie wa JF mna kamtaa kenu spesho [emoji23][emoji23]Hajui kwamba sisi ndyo wale wale wa kitaa [emoji1787][emoji1787]
Vijana msije mkajichanganya mkaingia mtegoni kuoa wanawake wa humu ndani asilimia kubwa ni matapeli na wanavisasi zidi ya wanaume japo wanaonekana kama malaika, ni warahisi mno na wepesi sana kuchakatwa pasi na wao kujali lolote , wao kukuvulia nguo ni wewe tuu ujipimie.
SawaWacha tuchangamshe genge. Its holiday.
🤣🤣🤣🤣 kwa kweliiiiMi nataka tu ushahidi sina mengi, privacy kitu gani bwana? Kwanza ukishatoa mambo yenu ya nje ya JF ukayaleta humu umeshavunja privacy, kama vipi tumalizie kipande cha privacy kilichobaki 😂😂
Sorry mkuu😁😁Unazisema sifa zangu wazi wazi,
Umenigusa kwa maumivu.😓
Una kipi cha kudangwa nawe? Embu nitolee shida zako hapa mxiewKa Depal kaache kwanza bado kanadanga!
Ahsante sana😅Forest hatoki boya!
Hahaaa unajipakulia nyama kwa huyo Manzi unaye mlia rada 🤣🤣🤣🤣🤣Sio kweli huu ni upotoshaji mkubwa sana humu ni sehemu nzuri sana kupata Manzi
Haina shida,uumbaji tu wa mwenyezi Mungu.Sorry mkuu😁😁
NakaziaKa Depal kaache kwanza bado kanadanga!
Bora umesema unashabikia, siku zote shabiki hajielewi anaendeshwa na mihemko ya kihisia. Tumia akiliUkweli my mimi nashabikia tu hapa ili mambo yamwagwe ili asipo mwaga tumpe title ya mzushi wa JF.
Kauka basi mkuu 😂🤣🙄Mambo ya pdf
Mkuu kameshanijibu hapo juu! Kanasema sina kitu cha kudangwa!Nakazia