Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Kuna neno umelikosa hapo.. "BAADHI YA"
Ungesema baadhi ya wanawake wa JF ningekuelewa na kukubalia kirahisi zaidi.
Binafsi nimeoa mwanamke wa JF.

halafu tambua tu wanawake wa JF ndio wa huko mtaani, mtaani kuna wastaarabu na wauza papa, so JF kuna wauza papa, kuna wadangaji, kuna wife material, kuna wanawake SWAAFI kabisa.. Kama umebahatika kukutana na wauza NYABWA basi hakuna tabu ila usiwahukumu woote.
 
Dada si tulikubaliana mwanaume mashine na pesa? 😂 Labda wana mashine na pesa.

Ngoja nijitafutie zangu mmoja nitaleta uzi na mimi kama yaliyomo…..😜
Mwanaume mwenye pesa anapoteza mda wake kuandika uzi wa masaa 2,Hawa wote kajamba nani humu kuna ma boss ila huwaoni hata kuchangia ni mara chache sana mda wote simu iko bizze wanaingiza pesa.
 
Vijana msije mkajichanganya mkaingia mtegoni kuoa wanawake wa humu ndani asilimia kubwa ni matapeli na wanavisasi zidi ya wanaume japo wanaonekana kama malaika, ni warahisi mno na wepesi sana kuchakatwa pasi na wao kujali lolote , wao kukuvulia nguo ni wewe tuu ujipimie.

Kwa hiyo tupige tu mzee baba na tusepe?
 
Back
Top Bottom