Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

dah kama ni hvyo basi si rahisi. yan new id. uanze maisha ya kuigizaaa. basi kama ndivyo ni wagumu ndo maana mm sijawahi bahatika kwa namna hiyooo ngoma ngumu na uzi ni batili
Hakuna mwanamke mgumu , mwanamke wa Jf anakua mgumu kama kakudefine wewe ni wa hovyo hovyo. Acha kukata tamaa mapema Jf unajipakulia tuu totoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ