Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Hawa ndyo wanarudigi humu wakijuta kwenda kuoa kijijini kwao baada ya kuchapiwa na wahuni wa kitaa
 
Wakati najiunga jf nilikutana na upepo fulani kila mtu ana demu wake kila mtu akichangia mada kwenye uzi lazima chini apige zile cc: alafu ana mention jina la mpenzi wake

Nikasema jf wana mapenzi ya kizungu sana ila ule upepo ulikuja kuisha vibaya ukiona Ex wako kachangia uzi fulani we unapita kimyakimya
 
Ule upepo uliisha baada ya kuutambua huu ukweli ila kabla ya hapo hawakujua huu ukweli ambao watu walikua hawausemi wakikutana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…