Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Ule upepo uliisha baada ya kuutambua huu ukweli ila kabla ya hapo hawakujua huu ukweli ambao watu walikua hawausemi wakikutana nao
Siyo Jf, hata ukienda insta hali ni hiyo hawafai, ukienda X hawafai pia ukirudi Facebook ndo walewale kwakifupi mitandao imewafanya wanawake wengi wawe na tabia moja kama mtindo wao wa maisha mwanamke kukutamkia anaenda kudanga siyo ajabu tena, kwahiyo kumeharibika hadi mtaani maana haohao wa mtaani ndo watumiaji wa mitandao hiyo
 
Mwanaume mwenye akili timamu unatafuta mwanamke wa kuoa mtandaoni, utakuwa fala la kufungia mwaka. Hawa wa mtandaoni watafute ukiwa na ugwadu tangaza dau piga shoo pita hivi. Hii internet ilitakiwa iwafungue watu akili ila matokeo yake imetengeneza mazombi ya kidijitali, yaani unatafuta mke mtandaoni we ni FALA BOYA na unastahili kupigwa na kitu chenye ncha butu.
Mtandaoni mwanamke akikubali kudate huyo ni malaya muuzaji tu, kuliko kutumia bando lako vibaya ni bora ungeshuka pale Sinza Manzese, Temeke au Tabata ukutane nao face 2 face.
Waliopo Jf na wanakubali kudate ndo hao wapo tinder, ndo wapo telegram, ndo wapo kwa madanguro, ndo wapo bar na kumbi zote za starehe.
 
Kwa hiyo kutafuta na kuwa na mtu toka mtandaoni ni ukosefu wa akili?
 
PM ni kuchukua namba na kukutana nae live, nilio kutana nao ni wakike na nimefagia wengi ana kwa ana katika kukamilisha utafiti wangu.


Nipo hapa kuwaambia vijana Jf hakuna mke huku wapo wauzaji
Huwa unafanya nini/hatua gani kujiridhisha kuwa mtu unayetegemea kumeet naye ndio sahihi?

Hatua gani/sifa zipi/vigezo vipi umejiwekea unapotaka kudate na mtu toka mtandaoni? Au ndio mnaanza tu kukubaliana kuonana haraka haraka(ni vyema utambue/mtambuane ili kujiondolea aibu ndogondogo kabla hamjaonana ,kuna njia nyingi za kugundua baadhi ya vitu unavyohitaji,kama ni muonekano kwanza na mengineyo) kwemye dating sites za wenzetu kuweka sifa zako hawakukosea,mwisho wa siku unakutana na binadamu hayuko vile unategemea na unakurudi kumsema mwanamke wa watu mtandaoni si sawa.
 
Inategemea tu na namna unavyompitisha kwenye chekecheke la kuchuja. Kwangu mimi nadhani mitandao imewafanya wanaume wawe na urahisi wa kujua yupi ni mke bora na yupi siyo. Ukiingia kwenye Facebook au Instagram, kwa kuangalia tu profile, picha anazo-post na maneno anayoandika ni rahisi sana kujua huyu ni mwanamke wa aina gani. By the way unajua kuwa unaweza kuoa mwanamke ambaye hatumii kabisa social media lakini baadae akaja kubadilika na kuwa champion?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…