Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Haya malalamiko yote ni kuwa mleta thread kakutana na WANAUME WA KIKE huko PM wamempeleka mjini.[emoji1787]

Mambo ya ajabu hata mtaani yanapatikana .
PM ni kuchukua namba na kukutana nae live, nilio kutana nao ni wakike na nimefagia wengi ana kwa ana katika kukamilisha utafiti wangu.


Nipo hapa kuwaambia vijana Jf hakuna mke huku wapo wauzaji
 
Back
Top Bottom