Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Inategemea tu na namna unavyompitisha kwenye chekecheke la kuchuja. Kwangu mimi nadhani mitandao imewafanya wanaume wawe na urahisi wa kujua yupi ni mke bora na yupi siyo. Ukiingia kwenye Facebook au Instagram, kwa kuangalia tu profile, picha anazo-post na maneno anayoandika ni rahisi sana kujua huyu ni mwanamke wa aina gani. By the way unajua kuwa unaweza kuoa mwanamke ambaye hatumii kabisa social media lakini baadae akaja kubadilika na kuwa champion?
yote yanawezekana
 
Naomba kufahamu, nimeona JF kukiwa hadi na shindano la kutafuta mdada mrembo zaidi. Iv huwa wadada walioko huku wameweka picha zao? Na je JF ID nyingi si sio halisi mtu yoyote anaweza tumia ID ya Ke kumbe ni Me . Sasa hawa wadada mnaowaongelea huwa mnakutananao au mliwaona wapi?
 
Uzi haujanifungua vizuri, una maswali yamehang kidogo. Vile umesema ni research, useme sasa ulitumia methodology gani(kuwalala) na sample space ilikuwa ngapi...jibu maswali yangu.
Nikikujibu hapa *useme sasa ulitumia methodology gani(kuwalala) * nitakua nimekupa mbinu za kuwala .

Tafuta njia zako mwenyewe kuniprove wrong
 
Moderator Huu uzi usifutwe huu ni ukweli, chama cha wakataa ndoa wengi wao wameangukia kwa hawa wadada wa humu ndani

Habari ndugu zangu ikiwa ni jumamosi ya mwisho ya mwaka 2023.

Nayasema haya kutokana na utafiti wangu wa kimnya kimnya nilioufanya kutoka kwa hawa dada zetu wa Jf, nipo hapa kupigwa mawe pasi na kujali lolote ila ukweli ufike.

Wengi wao ni wake za watu, mademu za watu na wengine ni single maza, kulia shida kwao ni jambo la kawaida sana , atakuomba buku ila jua hujaombwa mwenyewe.

Na ukiwasikiliza maneno yao na sauti zao nikama malaika apigaye tarumbeta la amani, sauti zao ni za mapenzi ya hali ya juu, wanajali sana na wepesi kumpandisha mwanaume hisia za haraka kama kichwa cha juu hakifanyi kazi vizuri, ukiwa nao faragha hawana mvuto isipo kua sauti zao ni nzuri za kubembeleza kama mbayu wayu wa mwituni mithili ya kukupelekea wewe mwanaume kujiona upo peponi

wana mitego ya kimahaba na ukijichanganya unaweza hadi kuuza mechi hadharani na ukakata kusikiliza mawaiza na kuamua kuoa upesi pasi na kufikiria mara mbili

Vijana msije mkajichanganya mkaingia mtegoni kuoa wanawake wa humu ndani asilimia kubwa ni matapeli na wanavisasi zidi ya wanaume japo wanaonekana kama malaika, ni warahisi mno na wepesi sana kuchakatwa pasi na wao kujali lolote , wao kukuvulia nguo ni wewe tuu ujipimie.

Wanawake wa humu ndani Jf wameweka hela mbele kama posho ya huduma atakayo kupa na wengi wao wanajiona ni wagumu sana ila kwa upande mwingine ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa kama wewe ni mjanja mjanja na una vihela vya chenchi za karanga, hawa hawafai kuolewa ,kijana usije ukaingia mkenge utakuja kulia sana.

Wanawake wa Jf siyo wife material kabisa , wanamaomivu moyoni na asilimia kubwa ni mafeminist, single maza, wake za watu waliojawa na tamaa mbaya, mademu za watu viruka njia, wanawake wa dangaji na wengi wao hawana mvuto, hawajielewi, na wengine ni wauzaji wa moja kwa moja jumla na rejareja

Kijana unaye tafuta mke au mwanamke wa kuzaa nae, hawa wanawake wa Jf wakiimbie ma uwaogope kabisa huu ni mzigo mzito na wa moto sana. Kijana tafuta mwanamke wa kuoa /kuzaa nae /kuishi nae huko mtaani.

Kutafuta mke Jf hakuna tofauti na kwenda kutafuta mke Tinder.

Huu uzi usifutwe, huu ni ukweli mchungu sana, saidieni vijana kwa kusema ukweli ili taasisi ya ndoa iimarike
Heee kumbe kuna kutongozana umu🤔
 
Unaweza kupata mwanamke mwema tu mtandaoni hata wema wanaitumia hii mitandao japo kweli ni kubahatisha unaweza ukawa na bahati nzuri sana au ukawa na bahati mbaya sana
Ningumu kupata mwanamke mwema mtandaoni, mwanamke anayejielewa kwanza hawezi kukubakiana na mtu anayemfata mtandaoni. Otherwise awe danga kama wa humu
 
Umejipanga broo, sio utani, yaan unajua kila back-up plan, if anything goes wrong you counter it.

Hahaha, respectfully of course.
napiga steak ya kutosha sana mzee, maana napoteza amino acids nyingi
 

Attachments

  • DSC_0001.JPG
    DSC_0001.JPG
    519.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom