Miaka ya gizani huko kabla hawajafanya pesa kua mfumo kuu wa biashara, barter trade ndo ilikua kila kitu so utajiri ilikua ni ardhi, madini, wanyama..miaka ya mbele utajiri itakua ni roho yako mkononi pesa inaenda kupotea, itakuja crpto nayo itapotea yaanze maswala ya popuation control. Yote kwa yote ushauri wa mkuu una apply kwa bachelor tena umri kiaka 30 kushuka mana ukiwa na tegemezi automatically akili zinakukaa.. 30s kwenda mbele ni mwendo wa kucheza kwa step ukijilipua unalipuka kweli [emoji378]