Usiogope kujilipua kwenye kutafuta maisha, hakuna njia rahisi

Usiogope kujilipua kwenye kutafuta maisha, hakuna njia rahisi

Shida inaanzia hapo kutake risk wengi wanadhani ni kua jambazi, tapeli, mwizi, uuze madawa ya kulevya hapana kuna mambo mengi tu kwa sasa unaweza kutake risk na mambo yakasogea kwa mfano kukaa sehemu moja bila kupata taarifa mpya ni ulemavu wa akili, mtu unaambiwa mbao za kutoka njombe na mafinga Lubumbashi congo zinahitajika halafu unakuta una mtaji hata wa semi moja unashindwa kwenda hadi fursa zinajifunga,
 
Umeongea kwa hisia sana, watoto nyanyanyanya hawatakuelewa
Mkuu nimepita huko na bado napitia...hakuna aliyeko juu afu akiwa chini alicheza..hata hawa wanasiasa wamesota sanaa..mf mdogo tuu..kuna siku niliona uzi huku ukisema Vunja bei kwao ni wakishua na zaid hapo alipofika familia ilimbeba...kama nisingekuwa namjua basii una amin..nakumbuka 2007 mwishon..ndio nasubir tokeo la form 2..mwamba kafukuzwa kwao kaja kwa ofis ya mshua akanambia dogo simu hii hapa nipe 40k..kuicheki ipo poa .. nikampatia mwamba hyo akasepa zake kusikojulikana...dahh hebu niishie hapa
 
Uko mwanza unaelezwa kua kilindi wanalima mahindi bila mbolea, unanauli ya kufika huko unashindwa kuchachatika uende ulime hata ekari tano ukomae kulala kwenye turubai, uje uvune gunia 50 maana kwa ekari mavuno ya chini gunia 10 ukikutana na bei ya 70 una milioni tatu, hapo umepata kianzio unapiga kwa mwaka nauli za kufuata interview mara dodoma, mara dar mara arusha na photocopy umetumia milioni na kazi hauna kumbe ungepiga hesabu vizuri miaka 3 mbele ungekua hata vyeti umetupa mbali hutaki hata kuviona,
 
Tusijifungie ndani take risk, jilipue usione aibu, hatma ya mafanikio yako unayo wewe mwenyewe tutabaki tunalaumu mara ccm vile mara chadema hawatutetei uliona wapi serikali ikuletee pesa mfukoni haipo hiyo tulie nao watunge sera bora na mazingira imara kwa upambanaji lakini chini ya jua hakuna spoonfeeding kama umetokea familia zetu zileeeee
 
Uko mwanza unaelezwa kua kilindi wanalima mahindi bila mbolea, unanauli ya kufika huko unashindwa kuchachatika uende ulime hata ekari tano ukomae kulala kwenye turubai, uje uvune gunia 50 maana kwa ekari mavuno ya chini gunia 10 ukikutana na bei ya 70 una milioni tatu, hapo umepata kianzio unapiga kwa mwaka nauli za kufuata interview mara dodoma, mara dar mara arusha na photocopy umetumia milioni na kazi hauna kumbe ungepiga hesabu vizuri miaka 3 mbele ungekua hata vyeti umetupa mbali hutaki hata kuviona,
Noted! Mkuu fursa zimetapakaa sijui kwanini hawa madogo wanajazana kariakoo kuuza protector za simu
 
Mkuu nimepita huko na bado napitia...hakuna aliyeko juu afu akiwa chini alicheza..hata hawa wanasiasa wamesota sanaa..mf mdogo tuu..kuna siku niliona uzi huku ukisema Vunja bei kwao ni wakishua na zaid hapo alipofika familia ilimbeba...kama nisingekuwa namjua basii una amin..nakumbuka 2007 mwishon..ndio nasubir tokeo la form 2..mwamba kafukuzwa kwao kaja kwa ofis ya mshua akanambia dogo simu hii hapa nipe 40k..kuicheki ipo poa .. nikampatia mwamba hyo akasepa zake kusikojulikana...dahh hebu niishie hapa
Acha bhana! Kumbe mchizi kaanza mbali halafu madogo wanabwata tu
 
Shida inaanzia hapo kutake risk wengi wanadhani ni kua jambazi, tapeli, mwizi, uuze madawa ya kulevya hapana kuna mambo mengi tu kwa sasa unaweza kutake risk na mambo yakasogea kwa mfano kukaa sehemu moja bila kupata taarifa mpya ni ulemavu wa akili, mtu unaambiwa mbao za kutoka njombe na mafinga Lubumbashi congo zinahitajika halafu unakuta una mtaji hata wa semi moja unashindwa kwenda hadi fursa zinajifunga,
Anaogopa anasema zitatekwa na vikosi vya M23 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
17-24 .

Nimezisaka zimeisha nilizopata , Maisha ni magumu aseh kama huna pesa alafu unae akili timamu... Narudia tena unae akili timamu damn ...

Hakuna kukata tamaa , mpaka kieleweke la sivyo Vitu vizuri vya Dunia hii tutaishia kuviona KWA wengine .. vitu hivyo vizuri nazungumzia ..
Elimu Bora (KWA unaowaleta duniani/wanao kutegemea )
Chakula.
Malazi/makazi ..
Afya

Hauwezi toa opinion ukasikilizwa,

Tutafute utajiri wakuu.

Haswa haswa vijana wemzangu wa kiume .. Tupambane Jombaa mpaka tone la mwisho.
Akili mingi , kujimix na Wana wanaohimiza maendeleo binafsi na Jamii KWA ujumla, .

Mda mwingine mafanikio tunayakosa KWA kutokuwa sehemu sahihi , Wakati sahihi .

Nawatakia kila la heri Wapambanaji wote .
Tumekuelewa mkuu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Huenda nikawa tofauti kimtazamo na wengine lakini kama kijana inabidi uwe mbunifu na risk taker. Usijali kuhusu hasara siku zote biashara ngumu zenye hasara kubwa ndobiashara zenye mafanikio. Ukipata fursa ya kwenda kutafuta maisha ughaibuni hata kama nikwakuvuka bahari kwa kutumia mashuwa vuka nenda katafute maisha.

Usiogope kufa kwenye kusaka life mtu wangu, jirisk jirushe tafuta pesa no way zaidi ya kuhangaika kwa udi na uvumba. Ndio mana wenzetu Wasomali wakiwa ugenini wanatoboa chapu kwasababu wanajua walifika huko kwa ku-risk maisha yao walipanda kwenye makontena ya matipa kwa umbali wa kilometer zaidi ya 5000.

Waarabu nenda huko Marekani, Italy na Uingereza wametoboa kwakuwa kuvuka kwao bahari kulijawa na dhoruba na harufu ya umauti maana kuingia kwao tu sio documentary wala legally wameingia kimagumashi na wametoboa. Kama utakufa kwenye utafutaji utakuwa umekufa kikamanda maana hiyo ni Trial and Error.

View attachment 2325124View attachment 2325125View attachment 2325127
Mbona wewe uliogopa kutoendelea na Ile hadithi yako ukazira ,ukakata tamaa. Yaani wewe uliyekatishwa tamaa na maneno ya watu tu Sasa huko kuvuka bahati utaweza kweli mana hujaiona nyangumi anasheki boti yenu utakufa nadhani
 
Vunjabei kwao kwa kishua lakin yeye kapambana kivyake mpaka kafikia hatua ya kuwaajiri kakazake akina fadhili

Dingi ake ni mkaksi kinoma ndio matajiri wa iringa way back
Buuuuh! Basi kwao niwapambanaji naturally
 
Mimi huwa naamka saa kumi, nasafisha room na kusafisha mwili wangu,nafanya mazoezi ya kujinyoosha sebleni kufika saa kumi na moja na pambana kutafuta dalalada za kwenda kazini hiyo ngoma mpaka saa saba usiku ndonageuza home kwenda kulala, this is my daily rooten
We fala si ulisema unaenda kazini na v8? Kwenye uzi wako wa uganda?
 
Back
Top Bottom