Usiogope kujilipua kwenye kutafuta maisha, hakuna njia rahisi

Sanaa...hapa hujakosea..ila tufanye vyote tupeleke watoto shulee...yule mzee unamaliza degree ..kashaweka pesa ya masters kwenye acc..ukimaliza masters yako msitafutane..
Duuh hii kali
 
Subir na sisi tupate ndio tuongee kama wewe ila hadi sasa huwezi kuniambia kitu kuhusu pesa pesa inaleta heshima sana..
 
Motivation speaker kwenye ubora wake.
 
Huko kujifanya mpambanaji na kurisk risk vitu vya muhimu kama uhai ndo vinafanya watu warisk hadi marinda yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…