Usiogope kumwambia mtu yeyote ukweli haijalishi ni mama yako au baba yako.

Usiogope kumwambia mtu yeyote ukweli haijalishi ni mama yako au baba yako.

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa .

Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema

Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
 
Stay commited to your decisions but stay flexible in your approach.
 
Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa .

Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema

Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
Tema mate chini.
Kwa hiyo baba au mama akiwa na kamchepuko kake wameketi mahali nimkemee au nimuuulize huyo ni nani? Yapo ya kusema namengine hayasemeki dogo!
 
Mwisho wa yote wazazi nao wanahisia so wanafanya makosa kama wengine Tu ila wengi tunakosea ufikishaji wa taarifa au ukosoaji
 
Back
Top Bottom