God Fearing Person JF-Expert Member Joined Apr 5, 2020 Posts 767 Reaction score 2,570 Sep 17, 2024 #1 Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa . Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa . Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli.
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Sep 17, 2024 #3 Stay commited to your decisions but stay flexible in your approach.
B Bigstone JF-Expert Member Joined Jan 16, 2023 Posts 1,433 Reaction score 2,079 Sep 17, 2024 #4 Sangatitti said: Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa . Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli. Click to expand... Tema mate chini. Kwa hiyo baba au mama akiwa na kamchepuko kake wameketi mahali nimkemee au nimuuulize huyo ni nani? Yapo ya kusema namengine hayasemeki dogo!
Sangatitti said: Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa . Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema Hakuna laana itayokupata kwa kumwambia mtu ukweli. Click to expand... Tema mate chini. Kwa hiyo baba au mama akiwa na kamchepuko kake wameketi mahali nimkemee au nimuuulize huyo ni nani? Yapo ya kusema namengine hayasemeki dogo!
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,550 Reaction score 12,239 Sep 17, 2024 #5 Mwisho wa yote wazazi nao wanahisia so wanafanya makosa kama wengine Tu ila wengi tunakosea ufikishaji wa taarifa au ukosoaji
Mwisho wa yote wazazi nao wanahisia so wanafanya makosa kama wengine Tu ila wengi tunakosea ufikishaji wa taarifa au ukosoaji
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 9,830 Reaction score 20,686 Sep 17, 2024 #6 Hata wajinga huzaa watoto na kuwa wazazi. Hivyo kuna wazazi wajinga wengi sana.