Usiogope kuoa kwa sababu ya gharama za kuoa, hizi ni njia rahisi nimekuwekea hapa, chagua itakayokufaa

Usiogope kuoa kwa sababu ya gharama za kuoa, hizi ni njia rahisi nimekuwekea hapa, chagua itakayokufaa

Asante sana mkuu nimeipenda hii D easy kabisa tatizo watu wengi mambumbumbu wamekaririshwa inafanya ndoa kuwa ngumu siku hizi
 
Write your reply...nani amekuambia hatuoi eti kwa sababu ya gharama??
hatuoi kwa sababu mambo mnayoyapata mliooa na sisi masela tunayapata maghetoni mwetu!
Una akili sana baharia...sasa kwanini uoe kama kila anachopata aliyeoa na wewe unakipata tena huenda unapata vingi kuliko yeye!
Maishani mwangu kuna vifungo viwili tu ambavyo sitafungwa milele na milele:-
1.Ndoa
2.Kuajiriwa
Hivyo vifungo vingine hewala!!
 
USIOGOPE KUOA KWA SABABU YA GHARAMA ZA KUOA, HIZI NI NJIA RAHISI NIMEKUWEKEA HAPA, CHAGUA ITAKAYOKUFAA

GHARAMA ZA KUOA NI HIZI

(1) nauli ya kwenda ukweni na kurudi watu wazima wawili mfn 45000 x 4 = 180,000
(2) kishika uchumba ya kwenye bahasha 30,000
(3) nauli yako na mtu mmoja ya kwenda ukweni na kurudi 45,000 x 4 = 180,000
(4) mahari andaa 400,000 hata ukitajiwa milion 10 ww toa 400,000
(5) ela ya pete 2 za 5,000=10000
(6) ela ya vyeti viwili vya ndoa 40,000
(7) ela ya kula njiani wakati wa izo movements ni 50,000

Jumla kuu kabisa hadi unaoa kwa mchanganuo huo hapo juu ni 890,000

PLAN B
(1) MAHARI 360,000
(2) PETE 2 = 10,000
(3) ELA YA VOCHA 15,000
(4) ELA YA VYETI 40,000
(5) NAULI YA KUMTOA MCHUMBA WAKO HUKO ALIPO KAMA HAISHI KARIBU NA WW KWA WAKATI HUO 60,000.
JUMLA NI 485,000
#NB 15,000 YA VOCHA ni kwaajili ya kuwasiliana na ukweni hadi mchakato unakamilika bila kwenda kwao, atakayetaka kuishuhudia ndoa yako basi aje kwa gharama zake mwenyewe

PLAN C
(1) ELA YA PETE 2 za 1000=2000
(2) ELA YA VYETI VYA NDOA 40,000
(3) ASANTE/MAHARI KWA WAZAZI WA MCHUMBA WAKO 150,000
(4) VOCHA 5000 YA KUWASILIANA NA UKWENI
JUMLA NI 197,000

PLAN D NA YA MWISHO

(1) ELA YA PETE 2 za 500 = 1000
(2) ELA YA VYETI VYA NDOA 40,000
(3) 1,500 KIFURUSHI CHA CHUO CHA KUWASILIANA NA UKWENI
(4) 20,000 YA KUTUMA UKWENI KAMA JUST KUSEMA ASANTENI WAZAZI WETU KWA KUMLEA BINTI YENU, NAOMBA MSINITAJIE MAHARI WALA NINI, NAWAOMBA MNIPE BINTI YENU NIJENGE NAYE FAMILIA.

JUMLA NI 62,500

Kama utakuwa na swali zaidi karibu PM
Kamanda vip wewe umeshaoa! ?
 
Una akili sana baharia...sasa kwanini uoe kama kila anachopata aliyeoa na wewe unakipata tena huenda unapata vingi kuliko yeye!
Maishani mwangu kuna vifungo viwili tu ambavyo sitafungwa milele na milele:-
1.Ndoa
2.Kuajiriwa
Hivyo vifungo vingine hewala!!
[emoji121]
HIYO NAMBA MBILI HIYO NINA MIKAKATI NAYO!!
 
Back
Top Bottom