DAH PUNGUZA UKALI WA MANENO MKUU WENYE BINT WANAKUSOMA TU UJUEMkuu vyote MZUNGUKO,,,JAZA MIMBA KWNZA,,,,utapewa MKE HATA KWA MKOPO....tabu yote ya nn?mzazi anakuwa na MARINGO kama akiona mwanawe hana TUMBO,,,,weka MIMBA,,,hata kwenye SIMU UTAOZESHWA
Una akili sana baharia...sasa kwanini uoe kama kila anachopata aliyeoa na wewe unakipata tena huenda unapata vingi kuliko yeye!Write your reply...nani amekuambia hatuoi eti kwa sababu ya gharama??
hatuoi kwa sababu mambo mnayoyapata mliooa na sisi masela tunayapata maghetoni mwetu!
Elf tano ndio kwani inasaidia nini kwenye ndoa mpaka ugaramike?Pete elfu 5???
Bora nimsaidie mume kwenda kununua Pete kwa hali hiyoMnavaa siku ya harusi tu siku ikiisha mnaziweka kando. Teh teh teh....
Suala sio kugharamikia. Pete ya elfu 5 nitakua najikuna muda wote wa ibadaElf tano ndio kwani inasaidia nini kwenye ndoa mpaka ugaramike?
Bora nisivaeBora nimsaidie mume kwenda kununua Pete kwa hali hiyo
Halafu naolewa etiSuala sio kugharamikia. Pete ya elfu 5 nitakua najikuna muda wote wa ibada
Ndo ntakapomuonyesha mume wangu upendo kwa kumsaidia gharama ya kununua Pete.Bora nisivae
Yani siku yako ya kipekee ukae Kanisani huna raha kisa unawashwa na bati kidoleniHalafu naolewa eti
Mi sinunui chochote kwenye harusi.raha ya kuolewa nitaipate ?Ndo ntakapomuonyesha mume wangu upendo kwa kumsaidia gharama ya kununua Pete.
Mwishowe upate tetanas madhabahuniYani siku yako ya kipekee ukae Kanisani huna raha kisa unawashwa na bati kidoleni
Namsaidia mume. Siku yangu ya ndoa nitataka iwe na Furaha kitu kidogo Kama Pete ntakisolveMi sinunui chochote kwenye harusi.raha ya kuolewa nitaipate ?
Kabla ya ibada unaenda chomwa tetanus kabisa incase Pete ikakuumiza Bahati mbayaMwishowe upate tetanas madhabahuni
Sio kwenye Pete wala gauni wala chupi au shereheNamsaidia mume. Siku yangu ya ndoa nitataka iwe na Furaha kitu kidogo Kama Pete ntakisolve
Inavochoma kwanza mwisho SAA sita. Labda ufunge ndoa asubuhiKabla ya ibada unaenda chomwa tetanus kabisa incase Pete ikakuumiza Bahati mbaya
Kamanda vip wewe umeshaoa! ?USIOGOPE KUOA KWA SABABU YA GHARAMA ZA KUOA, HIZI NI NJIA RAHISI NIMEKUWEKEA HAPA, CHAGUA ITAKAYOKUFAA
GHARAMA ZA KUOA NI HIZI
(1) nauli ya kwenda ukweni na kurudi watu wazima wawili mfn 45000 x 4 = 180,000
(2) kishika uchumba ya kwenye bahasha 30,000
(3) nauli yako na mtu mmoja ya kwenda ukweni na kurudi 45,000 x 4 = 180,000
(4) mahari andaa 400,000 hata ukitajiwa milion 10 ww toa 400,000
(5) ela ya pete 2 za 5,000=10000
(6) ela ya vyeti viwili vya ndoa 40,000
(7) ela ya kula njiani wakati wa izo movements ni 50,000
Jumla kuu kabisa hadi unaoa kwa mchanganuo huo hapo juu ni 890,000
PLAN B
(1) MAHARI 360,000
(2) PETE 2 = 10,000
(3) ELA YA VOCHA 15,000
(4) ELA YA VYETI 40,000
(5) NAULI YA KUMTOA MCHUMBA WAKO HUKO ALIPO KAMA HAISHI KARIBU NA WW KWA WAKATI HUO 60,000.
JUMLA NI 485,000
#NB 15,000 YA VOCHA ni kwaajili ya kuwasiliana na ukweni hadi mchakato unakamilika bila kwenda kwao, atakayetaka kuishuhudia ndoa yako basi aje kwa gharama zake mwenyewe
PLAN C
(1) ELA YA PETE 2 za 1000=2000
(2) ELA YA VYETI VYA NDOA 40,000
(3) ASANTE/MAHARI KWA WAZAZI WA MCHUMBA WAKO 150,000
(4) VOCHA 5000 YA KUWASILIANA NA UKWENI
JUMLA NI 197,000
PLAN D NA YA MWISHO
(1) ELA YA PETE 2 za 500 = 1000
(2) ELA YA VYETI VYA NDOA 40,000
(3) 1,500 KIFURUSHI CHA CHUO CHA KUWASILIANA NA UKWENI
(4) 20,000 YA KUTUMA UKWENI KAMA JUST KUSEMA ASANTENI WAZAZI WETU KWA KUMLEA BINTI YENU, NAOMBA MSINITAJIE MAHARI WALA NINI, NAWAOMBA MNIPE BINTI YENU NIJENGE NAYE FAMILIA.
JUMLA NI 62,500
Kama utakuwa na swali zaidi karibu PM
Hahahahaa. Uko Kanisani machozi yanakububujika watu wanajua uko emotional kumbe Pete inakuunguzaInavochoma kwanza mwisho SAA sita. Labda ufunge ndoa asubuhi
[emoji121]Una akili sana baharia...sasa kwanini uoe kama kila anachopata aliyeoa na wewe unakipata tena huenda unapata vingi kuliko yeye!
Maishani mwangu kuna vifungo viwili tu ambavyo sitafungwa milele na milele:-
1.Ndoa
2.Kuajiriwa
Hivyo vifungo vingine hewala!!
Haaaaaaaaaaaaaaaaaa mwana we umewazidi makomedian wote dunianiHahahahahha hapo kwenye bei ya pete ndo umenikosha, hujacheza mbali na pete za elfu 5