Usiogope kuoa kwa sababu ya gharama za kuoa, hizi ni njia rahisi nimekuwekea hapa, chagua itakayokufaa

Ela ni nini maana yake?
 
Aisee unaoa kwa 65000/= basi huko pwani maana ndo nasikia kuoa hata laki tatu haifiki hadi harusi.
 
Bado hujasema mahali mkuu
 
Mahali hujatataja maksio mkuu
 
Mahali hujatataja maksio mkuu
mahali NI CHOCHOTE HATA FUNDA LA MAJI KIKUBWA ARIZIE MWENYEWE MUOLEWAJI....WENGINE PETE,WENGINE AHAD YA KUFUNDISHWA QURAN,WENGINE KIGANJA CHA TENDE YAN MAHARI NI ZAWAD KWA MUOLEWAJI NAE HUTAKA CHOCHOTE BILA KUSHURUTISHWA.....WALA MAHARI HAITHAMANISHI THAMANI YA MTU NI ZAWADI HATA AKATAKA MAMILIONI NA MWINGINE AKATAKA DOT YA KHANGA.
 
Hayo yote ya nini wee tia mimba tuu unapewa bure tena na kipindi hichi wako nje nje wewe tuu ushindwe
 
Ngumu kumeza, hili jambo ni la kushauriana
 
Maisha yamepanda bei sasaivi
 
 
Safi sana kwa mchanganuo mkuu. Kijana wako nimekuelewa vizuri.
 
Nimei
Nimeipenda hiyo ya mahari hata ukitajiwa 10m wee toa 400,000. Ila kwa staili hiyo utapewa mke kweli? Na hiyo balance ya 9,600,000 utaipata wapi umalizie deni? Nataka kuoa mwaka huu😃
 
Shida vijana wengi tunahofia sana maswala ya Rizki wakati uzinzi wenyewe ni gharama sana na hatari kiakili, kiroho na kimwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…