Usiombe boss wako awe mwanaume mfupi

Usiombe boss wako awe mwanaume mfupi

Sifa za mfupi ndio sifa za mrefu

Huyo boss wako ni mtata cause Ushamuita BOSS (pesa inaongea hapo)

Angekua kijakazi kama wewe wala usingemuona ni MTATA

Ungekubaliana na mimi kua wafupi ni wapole haswaaaaaa
Broo kumbe na wewe ni kafupi,meza jeki hamna namna
 
Back
Top Bottom