Usiombe boss wako awe mwanaume mfupi

Watu warefu Siku zote wanafurahia ujana maana wanawake % kubwa hupenda wanaume warefu, ila tatizo linakuja umri unapoenda kwani wanakuwa vituko huku wakipinda, magonjwa ya mifupa na magoti pamoja na adha kibao. Sie warefu wa wastani hatuna shaka kabisa na wale wafupi huishi kwa amani sana uzeeni.
Fanya tafiti katika mahospitali uone jinsi wazee warefu wanavyoteseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye profile ndo wewe nic chuchu sa 6 tatizo una sura nzito hakuna boss wakufokea mtoto Mrembo sanasana ajing'ateng'ate ila hao watu watata haloooh wazee wa Moro

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…